Never give up, Haikainde Hichilema amegombea Urais mara 5 na kushindwa. Sasa ni mara ya 6

Majimbo 128 yamehesabiwa kati ya 156 bado Hichilema anaongoza kwa karibu kura mil 1
 
Congrats brother Hakainde and Lungu kwa kupiga na kupigwa rungu. Zambians have spoken guys
 
hakukimbia nchi
 
Kule tume ipo huru, huku sahau
 
Liwe fundisho kwa CCM
CCM wanajua hilo ila kiburi chao kiko kwenye system ya sasa ya katiba ambayo inawawezesha kuiba Kadri wanavyopenda. Ndiyo maana mwaka jana tuliona Mwendazake aliamua kuacha kufanya kampeni Kusini akijua Mahela atafanya kazi yake.
 
Ndiyo ujinga wao
 
Kwa kweli huyu ni zaidi ya kijakazi cha Mbowe ni mtwana wa Mbowe.
Sio Mara ya kwanza ,wapinzani kushinda huko Zambia.Mwaka 1991 alishinda Chiluba.Akaanza kwa kumweka ndani Kaunda.Lakini mpaka leo wana uchumi mbovu tu.Hata Chadema wakishinda ni utopolo tu.Kazi ndio msingi wa maendeleo sio vyama kushinda.
 
Afrika inaamka kila mahali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…