Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
-
- #81
Kwani Magufuli hakuwa mcha 'mungu'?
'Maza Mizinguo' siyo mcha 'mungu'! Hukuona alivyokuwa akipapasapapasa mto wa Lissu pale hospitali ya Nairobi? Ulidhani mtu kama huyo angeweza kufanya anayofanya leo kwa wapinzani?
Wazungu..Mungu awabariki hawa jamaa wanapenda sana haki hata kama wanantunyonya ila wanaheshimu sana haki za binadamu kwa sasa..sio kama hawa makoloni meusi yenye uchu wa madaraka na kuumizana kisa madaraka.View attachment 1892496
Mgombea Urais anayeongoza nchini Zambia wa Chama cha UPNDP Hichilema, alishashindwa uchaguzi wa Urais mara 5 nchini humo lakini hakukata tamaa, hii anayoongoza sasa ni mara ya 6.
Ni Mwanasiasa aliyeongoza kwa kunyanyaswa na Mamlaka wakisaidiwa na Polisi wa nchini Zambia, Taarifa zinaonyesha kwamba Mwaka 2017 Rais wa Zambia Edgar Lungu alituma vikosi vya Usalama nyumbani kwake kumkamata na kisha kumbambika kesi ya Ugaidi kama zilivyo tawala nyingi za kiafrika. Alikaa gerezani kwa siku 118 hadi pale Wazungu walipoingilia kati, baadaye akafutiwa mashtaka .
Mpaka muda huu anaongoza kwa mbali sana kwenye mbio za Urais wa nchi hiyo , na huenda akatangazwa Rais Mpya wa Zambia muda wowote kuanzia sasa
USITHUBUTU KUJIMWAMBAFAI , MADARAKA NI DHAMANA YA MUDA MFUPI TU, TUTENDE HAKI JAMANI
UPDATES
=========
View attachment 1893046
Kwani Sheikh Ibrahim H. Lipumba amegombea miaka, John M. Cheyo kagombea miaka mingapi, Augustino L. Mrema nae kagombea miaka mingapi......hebu acheni kufananisha upinzani wa nchi nyingine na huu upuuzi wa hapa kwetu
H. Aikande Hichi Lema.
Jina tuh Ni ishara tosha kwamba yajayo yanafurahisha.
Kwa hiyo mnajiaminisha kwamba na Mbowe atakuwa Rais.....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1894251
Hichilema akiwa kizimbani kwa amri ya Lungu
Hayo unaropoka weweKwa hiyo mnajiaminisha kwamba na Mbowe atakuwa Rais.....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa yametokea wapi tena hayo, mbona tunaongea kawaida tu lakini wewe umeshapaniki dada [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].......sio kila wakati mpende kuambiwa maneno ya kuwafurahisha tuHayo unaropoka wewe
Mifano hii tunayotoa ni fundisho kwa ccm na mamluki wao , nothing lasts longer , na ndio maana hata Yesu alikufaSasa yametokea wapi tena hayo, mbona tunaongea kawaida tu lakini wewe umeshapaniki dada [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].......sio kila wakati mpende kuambiwa maneno ya kuwafurahisha tu
Jamaa katimba Ikulu
Ukiongea hivi nini kinapungua kwako, au itikadi yenu nyie wanachadema ni lazima kutoa povu pale mnapoona watu hawaendani na mawazo yenu?Mifano hii tunayotoa ni fundisho kwa ccm na mamluki wao , nothing lasts longer , na ndio maana hata Yesu alikufa
Na mifano hii mnayoitoa ni mifano iliyokufa kibudu, narudia tena "MSIFANANISHE VIONGOZI WA VYAMA VYA UPINZANI WA NCHI NYINGINE NA HAWA WALEVI WENU WALIOPO HAPA NCHINI"Mifano hii tunayotoa ni fundisho kwa ccm na mamluki wao , nothing lasts longer , na ndio maana hata Yesu alikufa
Mcheza Viduku.Na mifano hii mnayoitoa ni mifano iliyokufa kibudu, narudia tena "MSIFANANISHE VIONGOZI WA VYAMA VYA UPINZANI WA NCHI NYINGINE NA HAWA WALEVI WENU WALIOPO HAPA NCHINI"
Mkuu kwenye ukweli lazima tuseme hata kama utakuwa unauma vipiMcheza Viduku.
Endelea kucheza viduku
Ingekuwa hivyo Katiba mpya ingepingwa kwa nguvu ya mabomu ?Na mifano hii mnayoitoa ni mifano iliyokufa kibudu, narudia tena "MSIFANANISHE VIONGOZI WA VYAMA VYA UPINZANI WA NCHI NYINGINE NA HAWA WALEVI WENU WALIOPO HAPA NCHINI"
Sina ugomvi na wewe. Wewe unashabikia CCM mie Chadema. Imani zetu za kiitikadi haziwezi kutugombanisha.Mkuu kwenye ukweli lazima tuseme hata kama utakuwa unauma vipi
Wakati huo huo nyinyi wanaccm mlikuwa mkimnanga Lipumba kwa kugombea yeye tu miaka na miakanitajie mmoja kutoka upinzania ukiondoa Prop Lipumba na Mzee Rungwe aliyegombea hata mara mbili...
Kwani ccm wamefanya kipi ?Wanasiasa wote wako kimaslai, hakuna atachokifanya aliyeingia Zambia na hakuna watakachokifanya wapinzani wakishika madaraka ya hii nchi.