Acha watafunwe kwani hawalazmishi wanafuata jina na mshiko,mstue chibu awapakue tu kiroho safi
 
Kwani Nani aliyesema mondi na Zuchu wapo kwenye mahusiano ni diamond mwenyewe au Nani?
 
Bi mkubwa gani unayemsema wewe? [emoji3][emoji3][emoji3] Hakuna kitu pale zaidi ya kumpa moyo binti yake asisikie ya watu wanamuonea wivu
 
Yes anafikiria diamond kalogwa, na adai kujikinga maana Khadija alimuuaga eti mwimba taratibu mweziwe kisa ushindani Sasa mama dangote anaogopa mno
Mmhh!kumbe mwanga anaogopa kuwangiwaa...hahaaa!!

Alimuua nani?au marehemu Layla Khatibuu eehhh!!!maana alikuaga tishio yule Dada kiukweli enzi hizooo!!!

Bimkubwa atulie tuu!mkuki kwa nguruwe!!!
 
Mama dangote anaingia kwenye anga za bi Hadija kopa mbona kazi anayo... ila sijapenda kiukweli bora iwe Kiki tu
[emoji23][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]watachambana kampata mjanja mwenziwe,aliwanawa sana kina,Zari,Missa na Wema,zamu yake imefika
 
Bi mkubwa gani unayemsema wewe? [emoji3][emoji3][emoji3] Hakuna kitu pale zaidi ya kumpa moyo binti yake asisikie ya watu wanamuonea wivu
[emoji1][emoji1][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]na yeye azae kama wengine!
 
Yes anafikiria diamond kalogwa, na adai kujikinga maana Khadija alimuuaga eti mwimba taratibu mweziwe kisa ushindani Sasa mama dangote anaogopa mno
"achia ngazi bibi mchuma unaondoka huo, achia ngazi bibi mchuma unaondoka huo" [emoji443][emoji445]

Umbea ukiwa unawahusisha watu wa zamani kitu code zinajifungua zenyewe, ukikutana na umbea unahusisha watoto wa miaka hii, naishia kufunga uzi tu, maana mambo hayashuki kabisa.
 
Mmhh!kumbe mwanga anaogopa kuwangiwaa...hahaaa!!

Alimuua nani?au marehemu Layla Khatibuu eehhh!!!maana alikuaga tishio yule Dada kiukweli enzi hizooo!!!

Bimkubwa atulie tuu!mkuki kwa nguruwe!!!
Nasma khamis kidogo, layla sina uhakika saana, ila khabar za mjini ni alimpiga juu bimkubwa, ile sanamu la michelin ilimgonga mnooo..
 
Jamii tunazoishi nao mitaani!mfano miye napataga Kwa anko wangu mmoja hivi kapangisha wasanii..mi nkienda kumsalimia ndo nazikutaga ingawa Mimi apeche alolo!!!
Mimi nitakuwa nakuchangia nauli ya kwenda na kurudi.

Umuenzi vizuri marehemu warumi wetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…