tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
Acha watafunwe kwani hawalazmishi wanafuata jina na mshiko,mstue chibu awapakue tu kiroho safi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Nani aliyesema mondi na Zuchu wapo kwenye mahusiano ni diamond mwenyewe au Nani?Trust me hii ni kiki, diamond ana mapungufu mengi ila kwa kuchagua wanawake wenye sura nzuri na shape hajambo.
Zuchu sura hana ,shape hana hapana hii ni kiki diamond kaipanga.
Hamonise ka trend sana, sasa kaona atafute kiki aongelewe.
Kuna mtu anakubali ukweli huu?
Bi mkubwa gani unayemsema wewe? [emoji3][emoji3][emoji3] Hakuna kitu pale zaidi ya kumpa moyo binti yake asisikie ya watu wanamuonea wivuMziki wa bongo utimu ndo unaharibu ukiwa mtoto wa kike ili utoboe kimziki lazima utembee na wadau wa mziki...Zuchu nafikir kaona njia ya yeye kua kwenye chati ni kutoka na boss tu hakuna namna!ila ataachwa kama wengine
Mimba anaweza asibebe maana bimkubwa atakua anampa biti kidogo lakini akibeba mimba ameishaa!
Mmhh!kumbe mwanga anaogopa kuwangiwaa...hahaaa!!Yes anafikiria diamond kalogwa, na adai kujikinga maana Khadija alimuuaga eti mwimba taratibu mweziwe kisa ushindani Sasa mama dangote anaogopa mno
[emoji23][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]watachambana kampata mjanja mwenziwe,aliwanawa sana kina,Zari,Missa na Wema,zamu yake imefikaMama dangote anaingia kwenye anga za bi Hadija kopa mbona kazi anayo... ila sijapenda kiukweli bora iwe Kiki tu
Hapo ni mwendo wa kufungua code tu..Nikifanyaje nitaelewa hii ishu
Wakivurugana ataangukia konde gang for everibodiHaya mahusiano yataishia pabaya mapenzi na kazi wapi na wapi or else diamond amuoe
Visiwani huko.Kojani ni kabila? Kama ni ndio linapatikana wapi
Hamna, naona ni kama bimkuwa wake tu.Chura ipo lakini
Ova
"achia ngazi bibi mchuma unaondoka huo, achia ngazi bibi mchuma unaondoka huo" [emoji443][emoji445]Yes anafikiria diamond kalogwa, na adai kujikinga maana Khadija alimuuaga eti mwimba taratibu mweziwe kisa ushindani Sasa mama dangote anaogopa mno
Mzee mwenzangu ulimuonja!? [emoji13][emoji23]Na dai hatumiagi ndom [emoji23][emoji23]
Nasma khamis kidogo, layla sina uhakika saana, ila khabar za mjini ni alimpiga juu bimkubwa, ile sanamu la michelin ilimgonga mnooo..Mmhh!kumbe mwanga anaogopa kuwangiwaa...hahaaa!!
Alimuua nani?au marehemu Layla Khatibuu eehhh!!!maana alikuaga tishio yule Dada kiukweli enzi hizooo!!!
Bimkubwa atulie tuu!mkuki kwa nguruwe!!!
Mimi nitakuwa nakuchangia nauli ya kwenda na kurudi.Jamii tunazoishi nao mitaani!mfano miye napataga Kwa anko wangu mmoja hivi kapangisha wasanii..mi nkienda kumsalimia ndo nazikutaga ingawa Mimi apeche alolo!!!
🤣🤣🤣🤣Mzee mwenzangu ulimuonja!? [emoji13][emoji23]
Uzi umeusoma ama? Hii habari haijaanzia jf iko insta hata na mleta mada kaitoa insta.Kwani Nani aliyesema mondi na Zuchu wapo kwenye mahusiano ni diamond mwenyewe au Nani?