New couple in town
Yes diamond ni kavu, huwa nawaza sisi wanawake huwa tunafikiria nini, Yani mtu anatoka na shoga ako na wewe unajipeleka tu hapo hapo.
But kwa zuchu ni next victim wa Diamond aisee
Wapuuzi hawa wadada,Mondi kwny industry kalala na wadada woote maarufu yaani km kuna alomuacha hakumtaka tu!!!
 
Huyo chuzu ni mshamba sana zaidi ya sana ..halafu mkubwa sana sema mwili tu huo umekomaa[emoji848]
[emoji1][emoji1][emoji2][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16]jamanii!
 
Mkwe naona umeipokea vizuri mikoba ya Warumi.

Endelea kutuhabarisha
 
[emoji1][emoji1][emoji3][emoji16][emoji16][emoji23]nimejaribu tu mkwe wangu,vipaji vina wenyewe!!
Umbea Siku hizi tutakua hatupati maana Dada wa taifa anautupia kwa Application yake sasa wengine tukiwaza kujiunga mwee[emoji4][emoji4]!!ngoja tubaki tu bila umbea!
 
Umbea wote kwa Original East mkwe wangu. Dada wa taifa mwenyewe anautoa huko
 
[emoji1][emoji1][emoji3][emoji16][emoji16][emoji23]nimejaribu tu mkwe wangu,vipaji vina wenyewe!!
Umbea Siku hizi tutakua hatupati maana Dada wa taifa anautupia kwa Application yake sasa wengine tukiwaza kujiunga mwee[emoji4][emoji4]!!ngoja tubaki tu bila umbea!
Mi ntajiunga ila mpaka li application lake litulie...naona maruweruwe tu sasa hivi[emoji57]
 
Back
Top Bottom