reymage
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 12,203
- 28,789
- Thread starter
- #141
Wapuuzi hawa wadada,Mondi kwny industry kalala na wadada woote maarufu yaani km kuna alomuacha hakumtaka tu!!!Yes diamond ni kavu, huwa nawaza sisi wanawake huwa tunafikiria nini, Yani mtu anatoka na shoga ako na wewe unajipeleka tu hapo hapo.
But kwa zuchu ni next victim wa Diamond aisee