cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,077
- 46,549
Njaa Kali na umaskini ni janga kubwa Kwa ma slay queen maana walimbia shule, wanaamini kutembea na diamond ni sifa na ni nadra kuwakuta watoto wa kishua wanaliwa hovyo, kwanza Wana exposure kubwa, hawana njaa ka Hawa wakibomgo wanategemea mbususu kuishiTatizo kubwa ni njaa tu za watoto wa kibongo...kutoridhika na hali ya maisha na ile hali ya kuwa ukiliwa uta trend sijui huwa watoto wa kike munawaza ule umaarufu na upepo wa pesa uko sexually transmitted[emoji2956]
Ila miaka yote huwezi sikia kawala watoto wa ma Don iwe wa kibongo ama wa kihindi ama wakina bhakressa au wajukuu zake kama kweli yeye ni bolo yanki[emoji28]!
Njaa za hela na umaarufu ndio zinawapeleka watoto wa kibantu kibla sijaona sababu ingine ya maaana. Unashangaa mtu anakula dada na mdogo mtu[emoji28] rafiki na shosti yake na wala hawajali!