New Force yapata Ajali Tanangozi Iringa

New Force yapata Ajali Tanangozi Iringa

Mbona mimi ndo zangu hizo.
Pengine kama unaendeshwa.
Dar-Mbeya ni endurance test ya dereva yeyote, lakini mimi huwa naenjoy sana.
Kuna sehemu za spidi, Chalinze -Mikese, Moro-Doma, Ilula -Iringa, Tanangozi-Mafinga, Sao Hill, Makambako Igawa. Mwisho wa spidi
Sehemu nyingine zote mwendo kasi utakuondoa barabarani.
Vipi kuhusu tochi za comfort, kitonga pale juu, kabla na baads ya sao hill? Ule mstari wa kutokuovertake je? Unatumiaga mbinu gani mzee?
 
Vipi kuhusu tochi za comfort, kitonga pale juu, kabla na baads ya sao hill? Ule mstari wa kutokuovertake je? Unatumiaga mbinu gani mzee?
Tochi za comfort na baada ya Kitonga hazipo kila mara.
Na zikiwepo weka buku mbili na uendekee na safari.
Sao Hill kanyaga , pale ukipiga 150km/hr ni dk 10.
Kabla na baada ya hapo nenda na sheria tu.
 
Kama heading isemavyo, majira ya mchana huu katika barabara ya iringa - Mbeya Bus la New Force limegonga lorry kwa nyuma na inasemekana chanzo cha ajali ni mwendo kasi na ku overtake bila kuchukua tahadhari, haijafahamika kama kuna vifo au majeruhi

Kwa mliopo Iringa mwaweza kutufahamisha zaidi kwakuwa habari nimezipata kwa juu juu.

picha zipo ila mtandao unasumbua inakuwa shida ku upload

View attachment 2098404
warudishe Kiswere, Zainabu au Scandnavia qisee ilikuwa noumaa!
Haya magar ya sasa mmmh!
 
Ingekuwa Sauli Imepata ajar ungekuwa wimbo wa Taifa kila mtu angesema na kila media ingepost hata watu wa usalama barabarani nao wangesema kuwa kila siku anapata ajali amezidi wafungiwe wakati hawa Newforce ndiyo deile wanapata ajali wanakimbia ving'amuzi wanachakachua wawe wakwanza kufika Mbeya

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Tochi za comfort na baada ya Kitonga hazipo kila mara.
Na zikiwepo weka buku mbili na uendekee na safari.
Sao Hill kanyaga , pale ukipiga 150km/hr ni dk 10.
Kabka na baada ya hapo nenda na sheria tu.
Comfort kuna masista wawili pale wakanambuaga acha teni, juu kitonga jamaa wakaniambia umeovertake sehemu usio stahili nikawaambia andikeni, baada ya sao hill kwenye kilima nikadakwa tena nikatoa 5,000 maeneo ya karibu na daraja la karibu mbeya nikapigwa 5,000 tena
 
Ha ha
Hao kina dada Kitonga wapo muda, ni mradi pale.
Sehemu zote ulizolizwa ni za spidi ndogo.
Siku hizi usipotaka usumbufu piga night shift.
 
Night
Ha ha
Hao kina dada Kitonga wapo muda, ni mradi pale.
Sehemu zote ulizolizwa ni za spidi ndogo.
Siku hizi usipotaka usumbufu piga nig

Ha ha
Hao kina dada Kitonga wapo muda, ni mradi pale.
Sehemu zote ulizolizwa ni za spidi ndogo.
Siku hizi usipotaka usumbufu piga night shift.
Daah night shift ukungu unakuaga wa kutosha nawaza sehemu kama mafinga inakuaga nyuzi joto 16-19 unaweza vaa lori..kuna siku nilitoka mbeya hadi kyela saa saa 4 usiku ebwana huo ukungu ulikua hatari...
 
Night shift matumizi ya taa muhimu sana.
Na spidi zake unapunguza kidogo lakini Mbeya- Dar masaa 11/12, na hakuna usumbufu.
 
Umeambiwa ajali imetoka Iringa wewe uanulizia mambo ya Dom, comprehension must be hard for you.

Relax

Kuna route ya Dodoma - Mbeya,,, na ipo ya Dodoma - Njombe

Hizi zote gari inapita hapo Tanangozi.....

Sasa sijui yule Afande wa mchongo alizungumza atasindikiza route ipi?? Tufahamishe kama unafahamu lolote... Wala hakuna vita ya Ujuaji ni kujuzana tu
 
Unaendelea kupuyanga.

Afande alisema atasindikiza route zote hadi mwisho wa mipaka ya mkoa wake. Nje ya hapo ni jukumu la mikoa mingie as he has no jurisdiction over that.

Hiyo ajali imetokea Dodoma?

Watanganyika wagumu sana kuelewa.
 
Ugumu wa kuelewa uko wapi hapo mkuu...

Sentensi ya Mpaka mwisho wa mkoa wake ndio iliyomiss kwenye taarifa yangu...

Watanganyika tunaelewa kiwepesi sana,,, nafikiri ni wakutuelewesha ndio tatizo.
 
Back
Top Bottom