pumzihaiuzwi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2015
- 3,273
- 3,083
hii kampuni ya hizi basi ichunguzwe hili basi limekua roho mkononi sijui madereva wao wanawatoa wapi hizi newforce ni chinja chinja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo taarifa kwamba polisi wanasindikiza mabasi ilikuwa uongo ?Kama heading isemavyo, majira ya mchana huu katika barabara ya iringa - Mbeya Bus la New Force limegonga lorry kwa nyuma na inasemekana chanzo cha ajali ni mwendo kasi na ku overtake bila kuchukua tahadhari, haijafahamika kama kuna vifo au majeruhi
Kwa mliopo Iringa mwaweza kutufahamisha zaidi kwakuwa habari nimezipata kwa juu juu.
picha zipo ila mtandao unasumbua inakuwa shida ku upload
View attachment 2098404