New Force yapata Ajali Tanangozi Iringa

New Force yapata Ajali Tanangozi Iringa

Hapo Tanangozi mizimu ya akina Kiyeyeu inaendelea kututafuna. Mwezi uliopita nilikuta malori 6 yamegonga tena sehemu yenye matuta kabisa. the same place tena kuna siku lory lilikuja likaigonga daladala iliyokua imepaki pembeni
 
Pole sana kwa waliofikwa na majanga hayo...

Kwani vipima mwendokasi vimeondolewa kwenye mabasi,,
na yule Police wa Dodoma aliyesema atasindikiza mabasi aliishia wapi?

Umeambiwa ajali imetoka Iringa wewe uanulizia mambo ya Dom, comprehension must be hard for you.
 
Abiria wamefaulishwa kwenye bus(new force ya Tunduma) tuko nao bus moja.
 
Ni kweli kabisa safari inachosha ukimaliza kitonga hadi uikute mbeya dah huwa nachukia sana na ndyo napita mara kwa mara
Mbona mimi ndo zangu hizo.
Pengine kama unaendeshwa.
Dar-Mbeya ni endurance test ya dereva yeyote, lakini mimi huwa naenjoy sana.
Kuna sehemu za spidi, Chalinze -Mikese, Moro-Doma, Ilula -Iringa, Tanangozi-Mafinga, Sao Hill, Makambako Igawa. Mwisho wa spidi
Sehemu nyingine zote mwendo kasi utakuondoa barabarani.
 
Sahihi kabisa ukiwa unakunja goti mwenyewe inakua poa shida ukiwa unaendeshwa dah naifikiriaga sana nishapanga nihame mbeya na siku nikihama mbeya nitafanya sherehe
 
Back
Top Bottom