Kama heading isemavyo, majira ya mchana huu katika barabara ya iringa - Mbeya Bus la New Force limegonga lorry kwa nyuma na inasemekana chanzo cha ajali ni mwendo kasi na ku overtake bila kuchukua tahadhari, haijafahamika kama kuna vifo au majeruhi
Kwa mliopo Iringa mwaweza kutufahamisha zaidi kwakuwa habari nimezipata kwa juu juu.
picha zipo ila mtandao unasumbua inakuwa shida ku upload
View attachment 2098404