Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama inavyoonekanaView attachment 2772249
Fabian Schar akatia cha 4
Ila hiki kibabu lascelles Kama kinazeeka halafu Kama hakitaki kuzeeka😆Hapa bado kuna majeruhi kama wote kina joelinton, willock, wilson , barnes na botman . Wakipona wote hawa rotation itakuwa tamuu sana.
Lascelles leo pale kati [emoji91][emoji91]
Aisee Eddie Howie mganga wake ni konyo
Ndani ya wiki mbili tumecheza na mabingwa wanne
Hakika, hata hivyo West Ham sio timu ya kawaida ni majabali haswaPoint moja sio mbaya pia ukiangalia na majeruhi walivyo wengi.
Anderson kidogo leo alizidiwa upande wa kushoto kule halafu ni vile gordon hakuwepo pia barnes so hatukuwa na sub kabisa position hio.
Hakika, hata hivyo West Ham sio timu ya kawaida ni majabali haswa