Newcastle United Football Club special thread

IMG_1829.jpg

Hawa matajiri wa Paris wameingia kwenye mfumo [emoji23][emoji23][emoji23]. Zile kelele pale st james zimewachanganya hawaamini walijua wanakutana na timu za bahati nasibu .
 
Fabian Schar akatia cha 4

Hapa bado kuna majeruhi kama wote kina joelinton, willock, wilson , barnes na botman . Wakipona wote hawa rotation itakuwa tamuu sana.

Lascelles leo pale kati [emoji91][emoji91]
 
Aisee Eddie Howie mganga wake ni konyo
 
Hapa bado kuna majeruhi kama wote kina joelinton, willock, wilson , barnes na botman . Wakipona wote hawa rotation itakuwa tamuu sana.

Lascelles leo pale kati [emoji91][emoji91]
Ila hiki kibabu lascelles Kama kinazeeka halafu Kama hakitaki kuzeeka😆
 
Mwenendo mzuri point moja toka kwa mabingwa UECL katika dimba la Olympic
 
Ndani ya wiki mbili tumecheza na mabingwa wanne

Point moja sio mbaya pia ukiangalia na majeruhi walivyo wengi.

Anderson kidogo leo alizidiwa upande wa kushoto kule halafu ni vile gordon hakuwepo pia barnes so hatukuwa na sub kabisa position hio.
 
Hakika, hata hivyo West Ham sio timu ya kawaida ni majabali haswa
 
Yeah wako vizuriiii hasa msimu huu. Sema gordon arudi yule dogo maana huwa nakubali sana purukushani zake ndo vile match haiishi bila kupigwa njano[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom