Newcastle United na safari ya kuwa Timu Tajiri zaidi Duniani

Wamchukue guadiora awape.EPL
Kitu cha kwanza ambacho wanaanza nacho ni kuleta kocha mpya mwenye uwezo mkubwa

Tayari kocha wa sasa Steve Bruce anakaribia kuondoka, kwahyo tutegemee soon watashusha kocha wa viwango vikubwa
 
Mambo yanaenda kasi sana, sasa Tegemea Newcastle united kuwa na wachezaji wa Kiarabu kama wote
 
Wakasajili wachezaji South America kwa dau dogo wenye vipaji na kuwapa mishahara minono huku wakijenga timu
Yaah!, upo sahihi kabisa mkuu hata wakienda Ufaransa watapata wachezaji wenye vipaji vikubwa kwa bei ndogo na hiyo mishahara minono
 
Mambo yanaenda kasi sana, sasa Tegemea Newcastle united kuwa na wachezaji wa Kiarabu kama wote
Hili nakupinga mkuu, kuna Oil club nyingi ila mbona hazina wachezaji wengi wa kiarabu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…