Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Saudia ni moja kati ya nchi Tajiri duniani na kupitia mfuko wao wa Public fund investment kila mwananchi huwa anapata gawio katika kipindi flani na hii ni nchi ya kifalmeSaudi sio kama bongo mzee hata kama wana maisha magumu huwezikulinganisha na sisi choo cha shimo.
Kumbe saud kuna njaaExactly...huku wananchi wanalia njaa
Nchi ina invest kuwanunua kina mbape
Sahihi.Saudia ni moja kati ya nchi Tajiri duniani na kupitia mfuko wao wa Public fund investment kila mwananchi huwa anapata gawio katika kipindi flani na hii ni nchi ya kifalme
Kwa pesa za tanzania ndio itaitwa bilioni kama mia 700 hiviSAHIHISHO: Newcastle United inanunuliwa kwa Pound milioni 300 sawa na Euro milioni 338 na wala sio (Bilioni), hakuna timu yenye kununuliwa kwa mabilioni ya Pound au Euro.
Huwa kwenye Utajiri wa Dunia hawawahesabu wanasiasa.Mkuu huyo si atakua kamzidi Jeff Bezos kwa utajiri..?Au ni za Group Hizo Pesa.
Hata man City haikununuliwa kwa 30B usd, mtoa mada ameweka List ya utajiri wa wamiliki na sio thamani za Club.SAHIHISHO: Newcastle United inanunuliwa kwa Pound milioni 300 sawa na Euro milioni 338 na wala sio (Bilioni), hakuna timu yenye kununuliwa kwa mabilioni ya Pound au Euro.
On October 7 2021, the club was bought for £300 million by a consortium led by the Saudi Arabian government's sovereign wealth fund.The purchase made Newcastle the richest club in the Premier League. Yassir Al-Rumayyan, the governor of the Public Investment Fund, was named Non-Executive Chairman of the club.SAHIHISHO: Newcastle United inanunuliwa kwa Pound milioni 300 sawa na Euro milioni 338 na wala sio (Bilioni), hakuna timu yenye kununuliwa kwa mabilioni ya Pound au Euro.
Wee saudia ni moja ya nchi tajir dunian ndugu yangu
Mkuu Pitia hapaPunguza kukariri
Utajiri wa mafuta wakati magari ya umeme yanashika kasi?
Huu utajiri walionao hata miaka 10 kuanzia leo hauta last..
Mafuta mbele ya magari ya umeme nani atayataka?..
Walipaswa kutazama nchi yao bila mafuta itakuaje....
Magari ya umeme Yana take over the world decade hii hii
www.forbes.com
Third world countries kwenye uzalishaji wa umeme ni kwa kiasi kidogo sanaPunguza kukariri
Utajiri wa mafuta wakati magari ya umeme yanashika kasi?
Huu utajiri walionao hata miaka 10 kuanzia leo hauta last..
Mafuta mbele ya magari ya umeme nani atayataka?..
Walipaswa kutazama nchi yao bila mafuta itakuaje....
Magari ya umeme Yana take over the world decade hii hii
Inshort Arab land was blessed as ours Africans, Ila sijui ilikuwaje tukaishia kuwa maskiniMkuu Pitia hapa
![]()
The Oil Sector Will Survive The Arrival Of The Electric Car Just Fine
Proponents of electric vehicles writing the oil industry’s obituary should put down their pens. There’s no denying that electric cars will significantly change the transportation landscape in the coming decades, but the transformation will be gradual.www.forbes.com
Prediction by 2040 kutakuwa na magari ya umeme milioni 300 na itapunguza utumiaji wa mafuta kwa asilimia 2 tu.
Kifupi mkuu kinachofanya mafuta yawe ghali si magari tu, haya mafuta yana mamia ya matumizi ikiwemo hayo magari.
Matumizi yake ni kama lami za barabarani, mafuta ya ndege, chemikali mbalimbali za maabara, plastiki hizi tunazotengenezea mambo kedekede, fiber hizi tunazokalia masofa na mito ya kulalia, na mambo kibao, hizi picha zinaeleza zaidi matumizi ya mafuta
![]()
![]()
Na unajua fact nyengine? Kuna belt inaanzia Uturuki mpaka Afghanistan, ndio concentration kubwa kabisa duniani ya madini, humo kuna lithium, iron, copper, uranium Na madini mengine ambayo ni essential kwa magari ya umeme, gari la umeme halitumii mafuta ila lithium inahitajika kwa wingi ili kutengeneza betri.
Kinachofanya wasiweke data zao za mapato na vyanzo vyao ni kipi hasa mbona naona kama kuna tatizo?Mkuu utajiri wa waarabu ni mkubwa zaidi wa huyo tajiri namba moja duniani ila wenyewe data zao hawaziweki wazi