Newcastle United na safari ya kuwa Timu Tajiri zaidi Duniani

Newcastle United na safari ya kuwa Timu Tajiri zaidi Duniani

Punguza kukariri
Utajiri wa mafuta wakati magari ya umeme yanashika kasi?

Huu utajiri walionao hata miaka 10 kuanzia leo hauta last..
Mafuta mbele ya magari ya umeme nani atayataka?..

Walipaswa kutazama nchi yao bila mafuta itakuaje....
Magari ya umeme Yana take over the world decade hii hii
Kuanzia mwaka 2035 Ulaya, Marekani na Japan wataacha kabisa kutengeneza magari yanayotumia nishati ya mafuta na itakuwa ni ya umeme tu.
 
Familia ya kina MBS inamiliki utajiri wa £1 trillion, sasa huu utajiri ni kufuru.
 
Huwa kwenye Utajiri wa Dunia hawawahesabu wanasiasa.

Bezos ni mfanyabiashara Tajiri zaidi, ila kuna wanasiasa wengi sana wana hela za kuchezea.

Wapo pia wauza madawa na watu wengine wanaofanya biashara haramu.
Kwa maana hiyo inawezekana kuna wanasiasa wana pesa ndefu kupita akina bezos mkuu?
 
Newcastle wapiganie kwanza top ten mengine baadae, wafanye rebuilding kama wanayofanyika pale Brighton au Crystal palace, talented players + young age.
 
Kwa maana hiyo inawezekana kuna wanasiasa wana pesa ndefu kupita akina bezos mkuu?
Putin Kuna watu wanadai anafikisha $200B utajiri. Yeye pia ni potential Tajiri kuliko Bezos.

Nchi za magharibi wana mifumo ya hisa, rahisi kutambua thamani ya vitu, ila Mashariki kuna makampuni hayapo public kabisa, wamiliki hata hawajulikani.
 
Kinachofanya wasiweke data zao za mapato na vyanzo vyao ni kipi hasa mbona naona kama kuna tatizo?
Huwa kwenye Utajiri wa Dunia hawawahesabu wanasiasa.

Bezos ni mfanyabiashara Tajiri zaidi, ila kuna wanasiasa wengi sana wana hela za kuchezea.

MBS ni crown prince wa Saudi Arabia na ni minister of defence

Kuna huyo rais wa Urusi Putin, Huyu balaa lake sio dogo
 
Inshort Arab land was blessed as ours Africans, Ila sijui ilikuwaje tukaishia kuwa maskini
Kuendekeza Ushirikina Starehe na Husuda, yaani chuki dhidi ya maendeleo ya mtu mmoja mmoja.
 
Niki sikia neno Newcastle United, namkumbuka Aspira.
Wakati naingia mjini Daresalaam kwa mara ya kwanza nikitokea kijijini Aspira ndio ilikuwa habari ya mjini.
Na Nkwanko Kanu (Arsenal)
Ila nilikuwa mdogo wakati huo, msinione Babu.
 
Exactly...huku wananchi wanalia njaa
Nchi ina invest kuwanunua kina mbape

Mkuu Saudi Arabia hakuna Njaa.

Nchi za Kiarabu zilizopo Bara Arabu (Ukitoa zilizopo Afrika) zenye Njaa ni zile zenye Vita tu Yani SYRIA, PALESTINA, LEBANON, YEMEN na IRAQ.

Lakini Nchi kama DUBAI, SAUDI ARABIA, BAHRAIN, QATAR, OMAN na JORDAN hawa Ni Matajiri wana Mihela watu wanakula Bata tu hakuna kitu kinachoitwa Njaa.
 
Waarabu ndio watu wenge pesa ndefu zaidi duniani sema huwa hawapendi kujiweka wazi.
Huwezi kuta list ya matajiri kumi duniani wamo...lakini pesa ipo ya kutosha kwanza pesa yao inazifunika paound,euro na dollar.
Asilimia kubwa ya pesa iliyonunua klabu ya Newcastle ni pesa ya serikali, sema mwanamfalme ndio kazichengesha tu sababu hakuna mwananchi ambaye atapiga kelele zozote

Sent from my Infinix X652 using JamiiForums mobile app
 
Niki sikia neno Newcastle United, namkumbuka Aspira.
Wakati naingia mjini Daresalaam kwa mara ya kwanza nikitokea kijijini Aspira ndio ilikuwa habari ya mjini.
Na Nkwanko Kanu (Arsenal)
Ila nilikuwa mdogo wakati huo, msinione Babu.
Namkumbuka kocha mkongwe kabisa Sir Bob Robinson RIP

Sent from my Infinix X652 using JamiiForums mobile app
 
Punguza kukariri
Utajiri wa mafuta wakati magari ya umeme yanashika kasi?

Huu utajiri walionao hata miaka 10 kuanzia leo hauta last..
Mafuta mbele ya magari ya umeme nani atayataka?..

Walipaswa kutazama nchi yao bila mafuta itakuaje....
Magari ya umeme Yana take over the world decade hii hii

Nawewe wacha kukariri hakuna Scania au lory litakalotumia Umeme ndugu! Gari za umeme ndiyo hizo IST, huwezi panda Kitonga na Tani 30 kwa umeme.

Biashara ya Mafuta kwamwe haitoweza kudorora katika Dunia hii.

Mabasi ya Mikoani yanayotembea Kilometa 800 labda uyapachike Solar lakini si umeme ambao Betri yake unadumu masaa yasiyozidi Mawili, almost unatoka Dar ukifuka Kibaha uncharge tena. Dar - SINGIDA, Mwanza, Tabora, Musoma, Kigoma, Bukoba uende kwa basi la umeme? 😂😂😂
 
Yaah, hii biashara ya Mafuta bado itaendelea kuwepo sana tu mkuu
 
Asilimia kubwa ya pesa iliyonunua klabu ya Newcastle ni pesa ya serikali, sema mwanamfalme ndio kazichengesha tu sababu hakuna mwananchi ambaye atapiga kelele zozote

Sent from my Infinix X652 using JamiiForums mobile app
Yaah! Kanunua kupitia kampuni ya umma inayoitwa Public fund Investment
 
Back
Top Bottom