Newcastle United na safari ya kuwa Timu Tajiri zaidi Duniani

Newcastle United na safari ya kuwa Timu Tajiri zaidi Duniani

Jana niliskia mchambuz clouds akisema bin salman ana utajir wa pound bili 300...sidhan kama dunian kuna mtu ana hela hyo labda kina rothschild
Ni zaidi ya hiyo mkuu na inafika Pound Bilion 500, ila hiyo 300 ndio wamewekeza kwenye club

Huo mfuko wao wa Public investment fund wana assets zinazozidi Pound Bilion 500 coz wana share Uber, Facebook, Citigroup, Neom, PB, Aramco, softbank and e.t.c

Pia kuna kifungu bindung kabisa kwamba Mwana mfalme Bin Salman hatoingilia mambo ya team
 
Tukiendelea kuweka rekodi sawa ni kwamba huu utajiri wa Newcastle United chini Mwana mfalme Mohammed Bin Salman ni mara kumi zaidi ya ule utajiri wa Mancity chini ya Sheikh Mansoor Bin Zayed
 
Tukiendelea kuweka rekodi sawa ni kwamba huu utajiri wa Newcastle United chini Mwana mfalme Mohammed Bin Salman ni mara kumi zaidi ya ule utajiri wa Mancity chini ya Sheikh Mansoor Bin Zayed
Mambo yanabadilika sana ,nani alitegemea New Castle kuwa tajiri hivi
 
Umeuliza swali zuri mkuu nasubir majibu
Waarabu ndio watu wenge pesa ndefu zaidi duniani sema huwa hawapendi kujiweka wazi.
Huwezi kuta list ya matajiri kumi duniani wamo...lakini pesa ipo ya kutosha kwanza pesa yao inazifunika paound,euro na dollar.
 
Hakuna tofauti na bongo, watu hali ngumu serikali inaendelea kununua ndege.
Saudi sio kama bongo mzee hata kama wana maisha magumu huwezikulinganisha na sisi choo cha shimo.
 
Back
Top Bottom