Newton aligundua laws nyingi za physics kabla hajatimiza miaka 26, Wewe hapo upo katika 30s ila bado unavuta mlango ulioandikwa "PUSH". 😂

Newton aligundua laws nyingi za physics kabla hajatimiza miaka 26, Wewe hapo upo katika 30s ila bado unavuta mlango ulioandikwa "PUSH". 😂

Newton aliwahi kuwa mbunge wa bunge la England kwa mwaka mmoja lakini kwa muda huo wote hakuwahi kuongea bungeni isipokuwa mara moja tu tena hapo alikuwa akiomba dirisha lifungwe.
😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom