Sun is Sun
JF-Expert Member
- Mar 13, 2024
- 649
- 975
Ifike hatua tikubali kuwa bongo za Wanadamu hazilingani. Kuna wenye akili sana kama akina Newton, Nikola Tesla, Albert Einstein e.t.c.
Gunduzi mara zote ni kwa watu maalum sio kila mtu kabarikiwa akili hizo. Ndio maana kuna wazungu wengine mbulula tu kama sisi.
Mind you, Wagunduzi wengi walikuwa na chembechembe za uchizi means bongo zao hazikufanya kazi kama zetu.
Hope you gerr it.