Newton aligundua laws nyingi za physics kabla hajatimiza miaka 26, Wewe hapo upo katika 30s ila bado unavuta mlango ulioandikwa "PUSH". πŸ˜‚

Newton aliwahi kuwa mbunge wa bunge la England kwa mwaka mmoja lakini kwa muda huo wote hakuwahi kuongea bungeni isipokuwa mara moja tu tena hapo alikuwa akiomba dirisha lifungwe.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…