Ngao ya Jamii 2023/2024 itakwenda Simba Sc, NBC 2023/2024 Bingwa atakuwa Simba Sc

Kwa yanga hii labda pimbi uwape hilo kombe, hawalambi kitu

Yanga hii ina maajabu gani ??

Kushinda goli moja kwa makosa ya kipa wa kaizer kutokea??

Kaizer kapoteza mechi 4 kati ya mechi tano za mwisho.

Kaizer aliepigwa. 3-0. na simba??


Kaizer ambaye yupo nafasi ya chini sana katika viwango vya soka barani Africa??
 
Halafu anatokea mtu anaidharau kazier, Yanga imemprove sana aiseee.


Yanga hii ina maajabu gani ??

Kushinda goli moja kwa makosa ya kipa wa kaizer kutokea??

Kaizer kapoteza mechi 4 kati ya mechi tano za mwisho.

Kaizer aliepigwa. 3-0. na simba??


Kaizer ambaye yupo nafasi ya chini sana katika viwango vya soka barani Africa??
 
Kaizer alifungwa 3, na Simba alifungwa ngapi? mbona una sahau haraka? kuna goli linafungwa bila errors za wachezaji? Kama viwango vya CAF vinacheza mbona Azam FC anakugonga kama demu wake kila siku
 
Hahahaha yaani kipimo chako kikuu ni ile mechi ya bonanza, ushawahi kuona wapi mechi timu inacheza first half then 2nd half wanaingia wachezaji wote 11 wapya?? Yaani sub ya wachezaji 11.

Lile lilikua bonanza, wachezaji kufurahisha mashabiki na kutambulisha kikosi, walau kila mchezaji apate nafasi kuonekana kwa mashabiki.
Ndio maana wala hukuona kocha akikukuruka.
 
Utabiri uwe bora usitolewe na pimbi47
 
Kweli Pimbi hamnazo kama Pimbi wengine wote wa Mbumbumbu fc!

Hivi kwa boli la Yanga na morali ya wachezaji wake nani wa kuizuia kubeba makombe miaka mitano mfululizo?

Hizi tabiri ni za pombe aina ya mbege unaiona kabisa ileeee Pimbi anaipiga gudugudugudu!
 
Kwa uchezaji wa Simba hii ya jana, wasiposhika nafasi ya nne ligi kuu na FA, nahamia Burundi.
Timu gani wachezaji wanakimbia kimbia tu uwajani, washambuliaji vimeo, pasi 99% hazifiki. Shoot on target 1.
Na huyu kocha wenu,Chiba, awe anasema ukweli badala ya kusifia sifia wachezaji kwamba wameiva kumbe hamna kitu.
 
Simba ipi iwe bingwa wa nbc na azam fc? Au hata kubeba ndoo ya ngao ya jamii?
1. Wachezaji wanaruka ruka tu uwanjani kama maharage kwenye sufuria yanapo chemshwa.
2. Sijaona mshambuliaji pale bocco? Baleke? Hamna kitu
3. Kocha anasifia kuwa na wachezaji lakini wote vimeo
4. Simba isipojiangalia naiona ikitoka nje ya nne bora msimu ujao
 
Muda wa kufukua nyuzi kama hizi..
 
HONGERA MKUU KWA UTABIRI SASA VYURA WAMELALA MAPEMA
 
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…