Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

Kwa anaye fahamu scale ya mshahara katika mamlaka ya viwanja vya ndege Tanzania TAA SCALE 7 ni Tsh. ngapi?
 
Serikalini kunatisha rushwa haiwezi kuisha asilani
 

Mkuu hebu angalia vizuri chanzo chako cha habari hii! Naona kuna kada hakuna mabadiliko na ile ya mwaka jana. Nahisi nii ni ya July 2013.
 
yaaan dis year wametudanganya kwakwel wengne kitu kinaongezeka 30,000 duhh
 
TRDS 5.1 ndo kiwango gani cha mshahara hicho?nimetoa kwenye nafasi za kazi za Tanroads...nijuzeni pls..
 
Naombeni msaada wa kujuzwa viwango vya mshahara wa non academic staff kwa Taasisi ya utamaduni Bagamoyo kwa mwenye diploma.

Natanguliza shukraan.
 
Habari wanajukwaa,
Wadau naomba msaada kama topic inavyojieleza.

Natanguliza shukraan.
 
habari..
Naomba kusaidiwa hii salary scale ya TGHOS A ni medical attendant(nurse) ni kiasi gani?
 
habari..
Naomba kusaidiwa hii salary scale ya TGHOS
A ni medical attendant(nurse) ni kiasi gani?
 
Habari wakuu,

Nimejitahidi kutafuta hiyo ngazi ya mshahara tajwa hapo juu kupitia google na hata hapa jamii forums katika stick post iliyowekwa bila ya mafanikio ya kuiona hiyo PHTS.

Nimeona tangazo la kazi MUST na ninataka ku-apply ila hiyo ngazi ya mshahara sijaijua bado.

Kwa wale wenye ujuzi naomba wanisaidie mshsara wa PHTS 2, PHTS 3 ni kiasi gani? au kwa mwenye kuijua PHTS ngazi zote si vibaya akatusaidia na wengine.

Natanguliza shukrani zangu kwenu.
 
Mwenye kujua pia atujuze pia na pgss 10—11 na PTSS 10—11 ili tujue mapema kabla ya kutuma coz jamaa wanashart mengi
 

ndugu mishahara ni siri si rahisi kijua hasa ya mashirika ya umma
 
Jameni hii ndo shilingi ngapi, mbona hii gover inaficha viwango vya mshahara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…