Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

  • nani kakudanganya WCF wamejaa MD? most of them ni compliance officers, NBIF wamejaa wataalam wa Bima na wale acturial, Osha ni mchanganyiko wa kada, BOT wamejaa wahasibu,
  • Hujajibu swali langu nilikuuliza wanahama tra wanaenda wapi?
-Kwa kifupi most of MD ni watumishi wa Tamisemi
Very good, sasa umeanza kua mjinga
hawajajaa MD ila wapo,kama tu ilivo BOT,TANAPA,UDSM,UDOM,TANESCO eeenheee salary ya MD ,na wa hao kada nyingine ipi kubwa,kwenye hizo taasisi?😁😀😀😆
 
Haya twende kazi master ya MD ni hiyo 3.2 m hii salary ukiipeleka tcaa unajua ni ya ofisa wa rank gani?
Kwani TCAA hawana MD?😁😀😆😆
Compare salary ya MD na afisa mwengine wa TCAA?
mbona umerudi kwenye upumbavu?
Hio 3.2 M ni salary ya MMED wa UDOM pale,sasa compare engineer,lawyer,accountant wa UDOM mwenye master uone anavozungukwa mara mbili na huyo MMED.
Huwezi compare watumishi wa muajiri tofauti kisha uje useme kua huyu anazidiwa na yule,.......compare watumisi wa muajiri mmoja,uone MD ilivo hotcake kwenye hayo maeneo
,hadi sasa hujioni kua wewe ni mpumbavu?
 
umetoka kuwagusa MD,umerui kweye madam sasa,very good
Sasa umekua mjinga
unasema TRA wapo juu unajua mtu mwenye diploma ya account pale EMILIO nzena hospitali analipwa bei gani?😁😆
Unajua TRA ni taasis ndani ya Wizara ya fedha kama ilivo BOT.
Enhe unajua zonala brach wa TRA na BOT yupi ana maslahi mapana?
Ok tuache yote-----unajua PS wa BOT pale Mtwara na afisa wa TRA pale Mtwara salary tofauti TU ya salary yao?
Unajua bachelor degree Accountant wa TANAPA analipwa bei Gani?
  • Kwanza kabisa naomba nikurekebishe kwenye uandishi wako, zonala, hakuna kitu kinaitwa degree ya accountant kasome sheria ya auditors and accountant registration act utaelewa unachoandika ni makosa.
  • TRA hawafanyi kazi kwa zone ni mikoa, wilaya, hawafanyi kazi kwa kanda,
  • tra kuwa chini ya wizara ya fedha sio tatizo, haujui kuwa mashirika, agencies ziko chini ya wizara lakini wao wanalipwa pesa kubwa compared to wizarani,
  • Kuhusu PS na Ofisa wa tra, naomba unitajie huyo PS ni wa rank gani, na huyo ofisa wa tra ni wa rank gani.
-
 
Yes nashukuru umeanza kutokua mpumbavu sasa,unareasons with facts
Nashukuru umejua ya kua huwezi linganisa wafanyakazi wa tasasisi tofauti ukapata mlinganyo uliosawa,hii nzuri sana,naona nilichokupinga mwanzoni umekielewa😃😄😆😆😆.........cha kulinganisha salary ya MMED wa TAMISEMI na afisa wa TRA.

Mlinganisho sahihi utaupata kwa kuchukua muhasibu wa TANAPA,kisha kalinganishe na mwanasheria wa TANAPA,..........sio eti uchukue muhusibu wa TANAPA uje ulinganishe na mwanasheria wa mahakama ya wilaya.
Hapa ndio utaona MD/MMED anawapiga fimbo wenzake kwenye hizo taasisi/TAMISEMI/WIZARA etc
 
Kwani TCAA hawana MD?😁😀😆😆
Compare salary ya MD na afisa mwengine wa TCAA?
mbona umerudi kwenye upumbavu?
Hio 3.2 M ni salary ya MMED wa UDOM pale,sasa compare engineer,lawyer,accountant wa UDOM mwenye master uone anavozungukwa mara mbili na huyo MMED.
Huwezi compare watumishi wa muajiri tofauti kisha uje useme kua huyu anazidiwa na yule,.......compare watumisi wa muajiri mmoja,uone MD ilivo hotcake kwenye hayo maeneo
,hadi sasa hujioni kua wewe ni mpumbavu?
-unajua Tanzania civil aviation lakini? Huko hamna MD ni sawa useme tanroads, tarura kuwa kuna MD huko hawapo kabisa.
-Mmed, unalinganisha na mwenye masters ya Engineering with the same experience na Education? MMED hawezi kulipwa mara mbili, hata kwenye local government MD ni 1.5m engineer ni 1.0 M hawezi kupata mara mbili, ni 1.5 times, hiyo mara mbili ni uongo.
- mimi tangu awali nilikwambia na nikaonesha Mahaba na TRA, ndio msingi wa hoja yangu, kwa sababu ulikuja kujwasifu MD nikaonesha kuwa TRA ni above, hali kadhalika TCAA, TCRA, EWURA
 
Yes nashukuru umeanza kutokua mpumbavu sasa,unareasons with facts
Nashukuru umejua ya kua huwezi linganisa wafanyakazi wa tasasisi tofauti ukapata mlinganyo uliosawa,hii nzuri sana,naona nilichokupinga mwanzoni umekielewa😃😄😆😆😆.........cha kulinganisha salary ya MMED wa TAMISEMI na afisa wa TRA.

Mlinganisho sahihi utaupata kwa kuchukua muhasibu wa TANAPA,kisha kalinganishe na mwanasheria wa TANAPA,..........sio eti uchukue muhusibu wa TANAPA uje ulinganishe na mwanasheria wa mahakama ya wilaya.
Hapa ndio utaona MD/MMED anawapiga fimbo wenzake kwenye hizo taasisi/TAMISEMI/WIZARA etc
  • mimi tangu awali nilionesha mahaba yangu na TRA, na nilionesha kwa sababu ulikuja kujwasifu MD/mmed nikaonesha kuwa huyo MMED hafikii tra, ndio ukaja ukaleta hoja ya ufala.
  • kuhusu kulinganisha md wa tamisemi na tra, hoja hii nilikujibu kuwa vitengo vingi/ mashirika mengi ya umma yenye maslahi mazuri hayaajiri md ni machache sana, hivyo MD Ana uwanja mdogo sana kulinganisha na degree kama Account, ambayo inaingia hadi tra, si umeona Ajira za tra zilivyokuwa nyingi, lete tangazo lenye ajira nyingi kwenye shirika lolote LA umma ambalo linahitaji MD.
-muhasibu wa tanapa na mwansheria wa TANAPA wako sawa kwa salary scale
 
-unajua Tanzania civil aviation lakini? Huko hamna MD ni sawa useme tanroads, tarura kuwa kuna MD huko hawapo kabisa.
-Mmed, unalinganisha na mwenye masters ya Engineering with the same experience na Education? MMED hawezi kulipwa mara mbili, hata kwenye local government MD ni 1.5m engineer ni 1.0 M hawezi kupata mara mbili, ni 1.5 times, hiyo mara mbili ni uongo.
- mimi tangu awali nilikwambia na nikaonesha Mahaba na TRA, ndio msingi wa hoja yangu, kwa sababu ulikuja kujwasifu MD nikaonesha kuwa TRA ni above, hali kadhalika TCAA, TCRA, EWURA
Unajua ya kua lakini mtu mwenye master ya MD,Pale TAMISEMI hata awe zahanati wanayopima tu Malaria, akianza kazi siku Moja na Muhasibu,mwanasheria,afisa ugavi hata aliyopo ofisi ya mkuu wa mkoa😄😁,.........yeye hulipwa mara 3 ya wenzake? Kumbuka hio ni TAMISEMI TU
Unajua ya kua ada ya kusoma MD TU pale KAIRUKI ya mwaka mmoja ni unasoma uhasibu/Sheria pale SAUT hadi unamaliza na chenji inabaki ya milioni 1.5?😀😁😃😆

Je,wewe sio mpumbavu?😁😆😅
 
-unajua Tanzania civil aviation lakini? Huko hamna MD ni sawa useme tanroads, tarura kuwa kuna MD huko hawapo kabisa.
-Mmed, unalinganisha na mwenye masters ya Engineering with the same experience na Education? MMED hawezi kulipwa mara mbili, hata kwenye local government MD ni 1.5m engineer ni 1.0 M hawezi kupata mara mbili, ni 1.5 times, hiyo mara mbili ni uongo.
- mimi tangu awali nilikwambia na nikaonesha Mahaba na TRA, ndio msingi wa hoja yangu, kwa sababu ulikuja kujwasifu MD nikaonesha kuwa TRA ni above, hali kadhalika TCAA, TCRA, EWURA
- ukisoma MD umejifunga, huwezi kulinganisha na ACCOUNTANT mwenzio tra, ewura, tcaa anaingia md ni taaluma iko very limited, compared to taaluma kama account
 
Unajua ya kua lakini mtu mwenye master ya MD,Pale TAMISEMI hata awe zahanati wanayopina tu Malaria, akianza kazi siku Moja na Muhasibu,mwanasheria,afisa ugavi hata aliyopo ofisi ya mkuu wa mkoa😄😁,.........yeye hulipwa mara 3 ya wenzake? Kumbuka hio ni TAMISEMI TU
Unajua ya kua ada ya kusoma MD TU pale KAIRUKI ya mwaka mmoja ni unasoma uhasibu/Sheria SAUT hadi unamaliza na chenji inabaki ya milioni 1.5?😀😁😃😆
Je,wewe sio mpumbavu?😁😆😅
  • Kipimo unacholinganisha kina makosa, chukua mtu mwenye masters degree ya hizo taaluma ulizozitaja mfano chukua mtu mwenye masters degree ya sheria na ni wakili, kama wakiajiriwa pamoja na the same qualification hawezi kulipwa mara tatu, haiwezekani,
  • Na hapo awali ulisema kuwa mmed ni 2.3 sasa linganisha engineer mwenye masters hawezi kulipwa mara tatu,
-unasoma miaka 7 halafu unakuja kukutana na vijana wana diploma wako tra wanawazidi hapo lazima upate stress
 
MD wa tamisemi miaka 2 advance PCB, miaka 6 Muhimbili anakula 1.5M kwa mwezi. Diploma wa uhasibu akiwa na div 4 ya form 4 akaunga certificate mwaka 1 na miwil ya Diploma TIA anakula 1.84Milion plus Malupulupu...Dah hata mim ingeniuma
 
Of course, halafu wengine unakuta ni wale uliokuwa unawadharau kipindi mko shule olevel, yeye kapata Div IV wewe one,
Leo hii mambo yanageuka.
 
Haya mambo ya mishahara ni pasua kichwa kwa kweli hata samia suluhu hasan kasema wafanyakazi wa TPA wananawili tu
 
Naomba kujua scale za EGA kwa Afisa II..kwenye tangazo waliandika EGASS 5.1..hii ni kiasi gani,
 
Back
Top Bottom