Bado haujapata jibu hadi sasa?PMGSS 8 ni sawa na kiasi gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado haujapata jibu hadi sasa?PMGSS 8 ni sawa na kiasi gani?
BadoBado haujapata jibh hadi sasa?
Bado
Endelea kuwaza ufala hivo hivo😀😁😆Kuna zaidi ya tra kwani hapa bongo?
Tra ufala?Endelea kuwaza ufala hivo hivo😀😁😆
Ufala ni kuwaza TRA ndio wanalipa Top salary kuliko taasisi yeyote ileTra ufala?
Kama hapa,unaposema hakuna zaidi ya TRA,huu ni zaidi ya ufala,.......watu wanahama TRA wanaenda kutafuta greenest pasture,wewe unasema ndio umeshafikaKuna zaidi ya tra kwani hapa bongo?
Sasa kama mtu anakuwa specialist (mmed) analipwa 2.3m hiyo ukiipeleka sio salary hata ya ofisa,Ufala ni kuwaza TRA ndio wanalipa Top salary kuliko taasisi yeyote ile
Wanahama tra wanaenda sehemu gani kwenye utumishi wa umma?Kama hapa,unaposema hakuna zaidi ya TRA,huu ni zaidi ya ufala,.......watu wanahama TRA wanaenda kutafuta greenest pasture,wewe unasema ndio umeshafika
Inawezekana wewe ni mpumbavu,subiri tuone hapa kama ni kweli.😃😁😃😆Sasa kama mtu anakuwa specialist (mmed) analipwa 2.3m hiyo ukiipeleka sio salary hata ya ofisa,
Tra, ewura, tcaa, tcra et al
Kwa kua wewe ni mpumbavu sitakupa jibu,..........😃😁😁Wanahama tra wanaenda sehemu gani kwenye utumishi wa umma?
Sio kwa kuwa mimi ni Mpumbavu ni kwa sababu, unajua jibu utakalotoa litakufanya uaibikeKwa kua wewe ni mpumbavu sitakupa jibu,..........😃😁😁
je wewe so moumbavu?
Hadi unioneshe kua wewe ni mjinga ndio nitakupa jibu
Enheee yaani Hadi unaingia jamii forum,haujui kua taasisi ulizotaja wanaajiri MD ,na Wana salary kubwa tu kuliko hata kada zingine,Mfano civil pale UDSM anaanza na PGSS 6,MD anaanza ana PGSS 8.Sio kwa kuwa mimi ni Mpumbavu ni kwa sababu, unajua jibu utakalotoa litakufanya uaibike
Jifunze kujenga hoja bila matusi, mimi mbona nimeuliza swali rahisi tu "wanahama tra wanaenda sehemu gani kwenye utumishi wa umma"? Umekosa jibu si ndio
Taasisi nilizotaja mimi ni Tra, ewura, tcaa, tcra.Enheee yaani Hadi unaingia jamii forum,haujui kua taasisi ulizotaja wanaajiri MD ,na Wana salary kubwa tu kuliko hata kada zingine,Mfano civil pale UDSM anaanza na PGSS 6,MD anaanza ana PGSS 8.
Sitakupa majibu😃😁😆😆
Nitakupa facts ili nikuoneshe kua wewe ni mpumbavu
Je wewe sio mpunbavu?,😁😀😆Taasisi nilizotaja mimi ni Tra, ewura, tcaa, tcra.
Unalinganisha udsm na tra?, ewura, tcaa, tcra? Hizo taasisi nilizozitaja except tra zimejaza engineers hakuna MD anaingia ewura, tcaa, tcra huko most of them ni engineers.
Bado hujajibu swali langu kwamba "wanahama tra wanaenda sehemu gani kwenye utumishi wa umma " Kwa hiyo unataka kusema mtu anahama tra aende udsm? Extraduty allowance ya tra inalingana na ya udsm? Incentive allowance ya udsm inalingana na ya tra? Per diem ya udsm inalingana na ya tra?
- Umejiona jinsi usivyokuwa makini mara ya kwanza uliandika, halafu ukaja kurekebisha ulochoandika bahati nzuri nimewahi kukunukuu.Enheee yaani Hadi unaingia jamii forum,haujui kua taasisi ulizotaja wanaajiri MD ,na Wana salary kubwa tu kuliko hata kada zingine,Mfano civil pale UDSM anaanza na PGSS 6,MD anaanza ana PGSS 8.
Mpumbavu sio tusi,kamusi rasmi ya kiswahili ya Balaza la kiswahili Tanzania inasema.
Mpumbavu ni mtu asiyejua akajifanya anajua.😄😆
Kitendo cha kuchukua mfanyakazi wa EWURA,TANAPA=Taasisi----------,kisha ukaja kufananisha na salary ya MMED wa TAMISEMI,huo ni upumbavu tosha,......kwani unadhani TANAPA hawana MD/MMED😆😆,fananisha sasa salary scale za wafanyakaz wa kada tofauti wa taasisi moja uje uone MD anavowapiga fimbo wenzake,iwe serikalini ama or ate sector.
Sitakupa majibu😃😁😆😆
Nitakupa facts ili nikuoneshe kua wewe ni mpumbavu
Je wewe sio mpunbavu?,😁😀😆
Enhee pale NHIF,WCF,OSHA,NIMR.......ambapo zimejaa KADA ya afya 90%MTU aje afananishe na engineer wa halmashauri anayelipwa milioni 1,aje aseme kua engineer kule analipwa kidog kuliko mtaalamu wa maaabara wa diploma wa NIMR?,huyo mtu atakua sawa?😃😁😆😆😆
Umeona ulivo mpumbavu?
Ndo maana nikakiambia ukutaka update mlangisho sawa chukua MD/MMED wa TRA,TANAPA,BOT,NHIF,UDSM,TAMISEMI,kisha linganisha na kada zingine uone anavowapiga fimbo wenzake.
Hadi hapa haujana ulivo mpumbavu?
Yaaani huwezi sema uchukue mshahara wa barmaid wa marekani uje ulinganishe na daktari wa Tanzania-----bar maid wa U.S utakua mkubwa tu😀😄😀😁😆
Linganisha mshahara wa MD wa U.S na wa bar maid wa U.S😆😁
Bado haujaona jinsi ulivo mpumbavu?
umetoka kuwagusa MD,umerui kweye madam sasa,very good- Umejiona jinsi usivyokuwa makini mara ya kwanza uliandika, halafu ukaja kurekebisha ulochoandika bahati nzuri nimewahi kukunukuu.
-Taasisi nilizozitaja mimi hakuna MD hata mmoja, taasisi kama tra, ewura, tcaa, tcra halafu unasema taasisi nilizozitaja, soma kwa umakini.
-Kwenye hoja yangu sikutaja TANAPA, na hata huko TANAPA waliojaa kwa wingi ni Wale wataalam wa wildlife ndio wengi kuliko kada zote pale tanapa kwa sababu conservation ndio principal activity ya tanapa MD. HR, ACCOUNTANTS, et al hao ni supporting staff ambao wapo wachache
- mimi tangu awali msimamo wangu ulikuwa wazi kabisa, nikakwambia tra wako juu, nilikwambia hivyo ili nikuoneshe kuwa tra wako juu kuliko MD/mmed na nikakwambia kuwa salary scale ya tra kwa afisa anamzidi Daktari bingwa (mmed) au ulikuwa husomi?
-na kwa kukuongezea tu vitengo vingi vyenye maslahi mazuri kwenye utumishi wa umma vinavyohitaji MD ni vichache
Haya twende kazi master ya MD ni hiyo 3.2 m hii salary ukiipeleka tcaa unajua ni ya ofisa wa rank gani?Master ya afya pekee kwenye utumishi ukiacha academic institution ambayo Ina salary ni MMED,ukiwa wizara/TAMISEMI,utaanza na TGHSG=2,300,000/=,Mashirika ya umma PMGSS 11=3,200,000/=