Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

Ngazi ya mshahara wa serikali unaoanza PGSS 5 ni sawa na sh.ngapi?maana kwenye hii scale cjaiona.naomba anaefahamu anifafanulie vizuri!
 
katika matangazo ya kazi za academic, hii scale huwa inatumika ila huwa sielewi ni kiasi gani, mwenye kujua anisaidie
 
Habari wana jamvi naomba kujua hizi scale ni take home au basic mfano TGS E au TGS D ni basic salary au ni take home naomba kujua wadau
 
mkuu hebu jaribu ku specify ni TGS D & E ipi?
maana kuna TGS D(1-12) sasa wewe cjui unataka ipi?
ila kwa kuna uzi unao elezea hiyo kitu jaribu kuutafuta.
 
jamani naomba kujua ukweli kwa anaee jua
eti nikweli kuwa level ya Shahada Polisi wanalipwa 720,000? salary?
na magereza nikweli wanalipwa 780,000?
naomba kujua ukweli.
 
_____________________________
kwa kweli sifahamu chochote
____________________________
wacha nipishe wajuvi wa mambo!
____________________________
 
Nachojua mishahara yao (police na magereza) ni sawa ingawa sijui ni sh. ngapi, wazazi wangu askari Magereza ila sijawahi kuwauliza wanalipwaje
 
Tgts na sio tgs hzo ni basic salaries and not take home my dear idiot
 
Tgts na sio tgs hzo ni basic salaries and not take home my dear idiot

Kuna TGS na TGTS sijaona reason ya kumkosoa hapo

TGTS hutumika kwa waalimu
TGS kwa watumishi tofautiyouti wa umma
TGHS afya
 
jamani naomba kujua ukweli kwa anaee jua
eti nikweli kuwa level ya Shahada Polisi wanalipwa 720,000? salary?
na magereza nikweli wanalipwa 780,000?
naomba kujua ukweli.

Ninachojua kwa police anayeanz kazi anaanza na Tsh. 450,000
 
jamani naomba kujua ukweli kwa anaee jua
eti nikweli kuwa level ya Shahada Polisi wanalipwa 720,000? salary?
na magereza nikweli wanalipwa 780,000?
naomba kujua ukweli.

wizara ya mambo ya ndani kuanzia miaka kadhaa iliyopita walilinganisha viwango vya mishahara kuanzia polisi ambao ndio walikuwa wanapata mshahara mkubwa hawa wengine magereza,uhamiaji na zimamoto wakaongezewa ikawa sawa kwa wote ila polisi wanakuwa na marupurupu mengi kutokana na opereshen nyingi wanazofanya
 
watakuja wanao jua watatuambia ukweli maaana wengine hapa tunadanganyana
 
ni kweli kunaTGS na TGTS but huyu mkuu anataka hiii ya TGS
 
ni kweli kunaTGS na TGTS but huyu mkuu anataka hiii ya TGS
Wanao jua msaidieni
 
Mshahara wa polisi graduate anaeanza kazi mwisho wa mwezi unalipwa tsh. 280,000 na katikati ya mwezi ni tsh. 150,000..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…