Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

Sijaelewa maana naona TGOS ,A ,halafu naona ,TGOS,A1,etc sasa mtu anapoanza kazi anaanza ma mshahara kiasi kwa TGOS ,A,???
 
duh hivi wanaishije...! TGS D ni graduate huyo! Tunatarajia pia alipe deni lake la Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu!
Ni graduate gan analipwa hyo pesa?? m n graduate mbon silipwi hizo pesa??? acheni kupotosha umma,hata certificate hawalipwi hizo pesa!!!!khaaaaaaaaa laki mbili!!!!???????
 
HUNA LOLOTE ULITAKA TUJUE NA WEWE USOMA "ADA"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…