Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

kumbe?
Hongera sana bob
 
Samahani ndugu, nimejaribu kutafuta PRSS scale ya 1.1 sijafanikiwa kuiona.Je unaufahamu kuhusu hiyo au na yenyewe inalingana na NIP ipi?
Jaman hii PRSS 1.1 NI BEI GANI BASIC NA TAKE OMU YAKE INABAKI NGAPI??
 
Inshu ya mishahara ni pasua kichwa aisee ukitaka kuona maajabu ya musa njoo tanzania
Pale ambapo unamkuta totorial assistant anafundisha chuo ana bachelor degree ya education mathematics na gpa ya 4 analipwa million 1.7 wakati mwalimu mwenye degree hiyo hiyo na gpa hiyo hiyo yuko kibaigwa secondary anallipwa TGTS D1 716,000 ikikatwa makato na bodi ya mkopo anabaki na 460,000
 
Hatari
 
Sikizote hapo uchaguzi ni wako binafsi unataka upate kazi wapi. ukiwa na gpa kubwa usiombe ualimu wa shule bali omba wa chuo kama unataka mshahara mnono ma uombee kusiwe na competition kubwa.
 
alsaidy,
Aisee marupurupu hayo mpaka kupata lini? Maana mpaka kuja kupewa hayo marupurupu mtu umeshachakaaa na kuchoka kisha upewe marupurupu hakuna kitu kama hiko. Ila la msingi serikalini kipato ni kidogo la msingi usiwe na nyenzo moja tu kama serikalini ni bora pia ukawa na nyenzo nyingine ya kujipatia kipato
 
Walimu kumbe ni 460000 tu kwa mwezi? Duuh! Nilijua laki 8
 
Kuna idara sizioni humu mishahara yake Kama TPC,TRA,TRC,TPB etc
 
Majeshini huko vipi....nasikia mpunga wao sio wa kitoto...has a polisi
Mshahara wakawaida sana mf askari asiye na cheo anaanza na laki 4 na point hyo ni kwa wote wizara ya mambo ya ndani lkn Tpdf inaongezeka kdogo anayeanza anakura laki 5 point wanapopata hela hawa wizara ya mambo ya ndani na Tpdf ni maposho wanayopata ni nyingi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…