Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

Mwenye kujua hii wakuu anisaidie PHTS 1 ni kiwango gani cha mshahara wakuu
 
Wanabaraza naomba mnitoe tongo tongo TGS D (Tanzania Gov. Scale D) ni shilingi ngapi kwa sasa? Nataka kuachia tawi Private Sector niende huko lakini sijui kukoje...

==============
July 2014 UPDATE:



What about TRCS 5 ni sh ngap hii
 
Habari zenu wanajukwaa
Kwa ambao wanafahamu
naomba nisaidie gross salary ya hizi hapa kada (wakiwa na bachelor degree) endapo wataajiriwa sehemu zifuatazo :-

a)Tamisemi
b) Msd
c) Tbs
d) NIMR
e) Tmda

Kada(bachelor degree) zenyewe ni kama ifuatavyo:-
1. Veterinary doctor II
2. Medical doctor II
3. Pharmacist II
4. Medical laboratory technologist II
5. IT II
6. Human resource officer II


Natanguliza shukrani
 
Kwa tamisemi

1. Veterinary doctor II
2. Medical doctor II
3. Pharmacist II
4. Medical laboratory technologist II


Natanguliza shukrani

Nitakujibu kwa hizi nne, lakini nakupatia scale na figure zake rounded off (not exactly)

1. Veterinary doctor II - TGS E (1.2 M)
2. Medical doctor II - TGHS E (1.4 M)
3. Pharmacist II - TGHS D (900 k)
4. Medical laboratory technologist II - TGHS B (680 k)
NB: hiyo Medical Lab technologist umemaanisha mwenye Diploma? Maana Bachelor degree anaitwa Scientist
 
Shukrani mkuu
 
Medical lab nilimaanisha mwenye degree
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…