Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

Wanabaraza naomba mnitoe tongo tongo TGS D (Tanzania Gov. Scale D) ni shilingi ngapi kwa sasa? Nataka kuachia tawi Private Sector niende huko lakini sijui kukoje...

==============
July 2014 UPDATE:


Mbona TGHS za afya sizioni hapo wakuu? Mnisaidie tafadhali
 
Naomba kujua mshahara wa laboratory technicians mwenye diploma anaeanza kazi basic ni ngapi na take home ni ngapi Asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…