Ngekewa(Capybara): Mnyama pekee apendwae na wanyama wote

Kwa iyo apart of anakonda wanyama wengne wote na rafk zake?anakonda anaishi kwenye maji au kwenye misitu mizito?(amazon forest)
 
Ana mvuto fulani ambao kila mnyama anataka awe karibu nae, ni mpole sana ila anakonda anawala sana maana wanakaa sana kwenye maji
 
Dawa ya ngekewa ni nzuri kwa wapenda mademu, kuna jamaa alitumia papuchi zikawa zinamfuata nyumbani zinapanga foleni hadi babu akamhoji ametumia nini akaonesha vinyweleo vya ngekewa ndipo babu akampa dawa nyingine ili kuzima ile dawa ya ngekewa kwani madem walikuwa wanajaa sana getthoni mwake hata wake za watu walikuwa wanakuja wanamtafuta. Cha ajabu walikuwa hagombani hao madem wanachekeana tu jamaa anambandua kila mmoja kwa muda wake.
 

Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Mammalia (Wanyama wenye viwele)
Ngeli ya chini: Placentalia (Wanyama wenye mji)
Oda: Tubulidentata (Wanyama wenye meno yenye mifereji ndani yao)
Familia: Orycteropodidae (Wanyama walio na mnasaba na mhanga)
Jenasi: Orycteropus
Spishi: Orycteropus afer

huyo ndie Muhanga.
 
Asnte sana mkuu kwa kutuletea huyu mnyama muhanga!!nimefurahi sana nyama yake tamu sana haina tofauti na ile ya yule mnyamu mungu alompendelea utamu a.k.a (NOA) nadhani walaji wamemuelela!!historia ya huyu muhanga anapenda sana kula wadudu watambaao na warukao ila sana sana chakula kikuu kwake ni mchwa kwenye vichuguu na ana kucha ngumu sana kichuguu kwake ni kama anachimba kwenye tope vile!!na nyama yake tamu sana kama ya nungunungu!!
 
Kwa iyo apart of anakonda wanyama wengne wote na rafk zake?anakonda anaishi kwenye maji au kwenye misitu mizito?(amazon forest)
Wengi wa Wanyama ni rafiki zake, mpaka Kuna watu wanamfuga kama Pets wengine! Na hupenda kuishi kwenye maji na huko ndo hukutana na Anaconda, Silaha pekee aliyonayo ni kucha ngumu na ndefu, ambapo hutokea Mara chache akamparura na kumtoboa Anaconda kabla hajammeza but Mara nyingi analiwa yeye tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…