Negrodemus
JF-Expert Member
- Dec 30, 2010
- 2,318
- 688
Mweh.....!!! njaa mbaya.Hata simba anapendwa sana tatizo njaa tu ndio inamfanya aonekane mbaya
Nimeona kwenye Nat Geo last week akiliwa na anaconda vizuri tu.
Tafuta hii Snake: The Killing Machine
Ndio fisimaji kumbe.!Kwakiswahili anaitwa fisi maji
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] JF hii noma sana.kwa hiyo hana tofauti na lowasa?