Ngiri (Warthog ): Naomba wataalamu watueleze Kwa kina kuhusu huyu Mnyama

Nikifa MkeWangu Asiolewe

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2024
Posts
6,944
Reaction score
14,351
Kwa siku za Hivi karibuni ukipita kwenye mitandao ya kijamii utakuta huyu Mnyama anasema Kwa utani hasa speed yake.

Sasa Kuna wimbo wake sijui ni kabila Gani na una maana gani Kwa anayejua anaweza kutuambia maana ya =>Kasongo yeyeeeee mombali nangai, kasongoooo mbona weooo songa limala
oooohhh yeyeyeee. Kasongo mbona weooo, mbona weeeeooooooo.😀😀.

Pia Kuna baadhi ya page wanasema Hivi👇👇😹😹😹

When scientists were ranking animals, the warthog was in his holes so they ended up crowning the wrong guys. King of the jungle title went to the lion and fastest went to the cheetah but both titles belong to the hog.

Third title for the warthog is for reverse parking. Dude can reverse into a hole in the middle of a high speed chase 😂🤣 acceleration from zero is like a race car and brakes are instant.. i think its time we crown the right champions with all fairness.. if a cheetah can chase a hog and fail to catch it then we have a new champion, the V16 bi-turbo 6.5L AMG engine 🤣

Sasa ukweli ni upi? Nahitaji kujua zaidi kuhusu huyu Mnyama.

Nimewaona sana Kisarawe Pwani

FB_IMG_1728881902355.jpg
wanasema Kwa Sasa ndoThe king of the jungle 😂😂
FB_IMG_1728881696234.jpg
Binafisi nafurahi sana pindi niliona clip zake jinsi anavyokimbia!!

FB_IMG_1728881728415.jpg

Nimewawekea na clips
 
Attachments

  • 1787908c6567d3f85ae627301287e0b4.mp4
    5.4 MB
  • 05152f6b41a5695309c923941a58dfb6.mp4
    1.1 MB
  • b1b6a90bb87a3e18af2d1c18e89eb93c.mp4
    3.1 MB
  • 1787908c6567d3f85ae627301287e0b4.mp4
    5.4 MB
  • 895f808221226d14ff300903bf89e850.mp4
    2.5 MB
Haka kadude ndio kana speed kubwa, ila kanazidi kuonekana na speed kutokana na ufupi wake,

Sifa nyingine ni kachokozii..
Clip nyingi tuu utakaona kanavizia simba, chui n.k kanawashtua mda mwingine kuwapiga pembe halafu kanatoka nduki, ndio watu wanasema eti kanafanya vile kutest turbo yake kama iko sawaa..

Pia kanatabia ya kusahau sanaa,
Pia hakakubari unyonge, clip utakaona kanakimbizwa kakiochoka kanakugeuzia kibao, kenyewe nyuma wewe mbele.

Hapa cheetah walikua wanakunywa maji kakapita nao
View: https://youtu.be/9LYOZFQIk_Y?si=ZCWtk4hLIA5PndA5

Hapa Simba wamelala, kakaenda kuwatest
View: https://youtu.be/PYdn_EoXgn4?si=vOUBdYa5GwVJD1fG

Hapa cheetah anawinda mzigo wake kenyewe kanamfuatq nyuma kumchokoza, windo likapotea chui akabahi haelewi
View: https://youtu.be/lBPLLgJumU4?si=HlHug30azITGLi2n

Hapa kamekimbizwa na Cheetah kufika mbele kakamgeuzia kibao

View: https://youtube.com/shorts/flYz2O6iSXk?si=hiBnCEJpgKH_iyaI

View: https://youtube.com/shorts/DjUs0irk1_A?si=r49i9Xa1l9xLmcCK
Hapa chui Wakigeuziwa kibao

View: https://youtu.be/Oyhk6kRAJW0?si=BAf42w-PZSG4Ezh5
Hapa katoto kamewakazia simba wawili, wakashindwa kakasepa.

View: https://vm.tiktok.com/ZMhyUMH6y/

View: https://vm.tiktok.com/ZMhyU2QNf/
Hapa akiwatest cheetah wakiwa wamelala kama turbo engine ipo sawa?

View: https://vm.tiktok.com/ZMhyDo1Ua/
Hapa Simba ni kama babu yake, kanamla vichwa.

View: https://vm.tiktok.com/ZMhyUucwY/
Hapa Akimuashia simba indicator

View: https://vm.tiktok.com/ZMhyUDo5s/
Akitest turbo

Kuna nyingine ngoja niitafute, Cheetah aliwavizia akaanza kuwakimbiza, yupo katikati ya speed yake kuwafikia, nao wakatoka nduki kumfuata, Cheetah aligeuka windo mwenyewe, wakampelekea moto huku akitoka nduki.

Sasa usiombee kabananishwe, hilo Yowe lake, kama sio kenyewe vile.
 
Wataalam mtuambie huku ingini ya hii gari imetengenezwa wapi maana inachanganya fasta kuliko hata fasta yenyewe
Huyu Mnyama anapilika pilika kweli. Na haogopi hata Simba Kuna clip niliona chitah wanakunywa maji akasimama Kwa muda then akaona Hawa isiwe tabu alienda speed na kumpalamia chitah halafu wakaishia kukimbia wote sio chita Wala ngiri😂😂
 
Haka kadude ndio kana speed kubwa, ila kanazidi kuonekana na speed kutokana na ufupi wake,

Sifa nyingine ni kachokozii..
Clip nyingi tuu utakaona kanavizia simba, chui n.k kanawashtua mda mwingine kuwapiga pembe halafu kanatoka nduki, ndio watu wanasema eti kanafanya vile kutest turbo yake kama iko sawaa..

Pia kanatabia ya kusahau sanaa,
Pia hakakubari unyonge, clip utakaona kanakimbizwa kakiochoka kanakugeuzia kibao, kenyewe nyuma wewe mbele.
Nimeona mara nyingi sana clip za kuwachokoza wanyama wakali . Huwa nacheka sana
 
Mbona hasemwi kuwa ni hatari kiasi hiki ?
Waulize wanaowinda , huyo analiwa sana mbona ila vurugu zake ni noma ...Kama utapiga risasi itachukua mda sana mpaka afe kabisa ,wana timing zao anaweza kujifanya amekufa hata baada ya 30 ila ukisogea anakumaliza .

Huyo hata ikitokea kajeruhiwa na simba au chui , purukushani zake ni noma .
 
Huyu Mnyama anapilika pilika kweli. Na haogopi hata Simba Kuna clip niliona chitah wanakunywa maji akasimama Kwa muda then akaona Hawa isiwe tabu alienda speed na kumpalamia chitah halafu wakaishia kukimbia wote sio chita Wala ngiri😂😂
Huyu jamaa kwanza ni mtukutu pili asipo toka nduki ajihisi aman kabisa ndio maana clip nyingi zinamuonesha jamaa yeye ndie mkorofi yani lazima atafute sababu za kupiga kibati hapendi kuona wenzie wametulia

Kuna clip nimeona simba alikua sijui anamkimbiza sungura yule jamaa akaona usinitanie katoka mbio kawa over take simba na sungura 😂😂😂wake mpaka nikajiuliza sasa ilikua na umuhimu gani kufanya vile.
 
Kwa siku za Hivi karibuni ukipita kwenye mitandao ya kijamii utakuta huyu Mnyama anasema Kwa utani hasa speed yake.

Sasa Kuna wimbo wake sijui ni kabila Gani na una maana gani Kwa anayejua anaweza kutuambia maana ya =>Kasongo yeyeeeee mombali nangai, kasongoooo mbona weooo songa limala
oooohhh yeyeyeee. Kasongo mbona weooo, mbona weeeeooooooo.😀😀.

Pia Kuna baadhi ya page wanasema Hivi👇👇😹😹😹

When scientists were ranking animals, the warthog was in his holes so they ended up crowning the wrong guys.. king of the jungle title went to the lion and fastest went to the cheetah but both titles belong to the hog.

Third title for the warthog is for reverse parking. Dude can reverse into a hole in the middle of a high speed chase 😂🤣 acceleration from zero is like a race car and brakes are instant.. i think its time we crown the right champions with all fairness.. if a cheetah can chase a hog and fail to catch it then we have a new champion, the V16 bi-turbo 6.5L AMG engine 🤣

Sasa ukweli ni upi? Nahitaji kujua zaidi kuhusu huyu Mnyama.

Nimewaona sana Kisarawe Pwani

View attachment 3124447wanasema Kwa Sasa ndoThe king of the jungle 😂😂View attachment 3124449Binafisi nafurahi sana pindi niliona clip zake jinsi anavyokimbia!!

View attachment 3124446
Alikuwa bize kuremba nywele zake . Akachelewa. Anakuja kwenye shindano akakuta Simba na chita wameshapewa tuzo. Walichoka kumsubiri 😆 😂 😆 😂
 
Kwa siku za Hivi karibuni ukipita kwenye mitandao ya kijamii utakuta huyu Mnyama anasema Kwa utani hasa speed yake.

Sasa Kuna wimbo wake sijui ni kabila Gani na una maana gani Kwa anayejua anaweza kutuambia maana ya =>Kasongo yeyeeeee mombali nangai, kasongoooo mbona weooo songa limala
oooohhh yeyeyeee. Kasongo mbona weooo, mbona weeeeooooooo.😀😀.

Pia Kuna baadhi ya page wanasema Hivi👇👇😹😹😹

When scientists were ranking animals, the warthog was in his holes so they ended up crowning the wrong guys. King of the jungle title went to the lion and fastest went to the cheetah but both titles belong to the hog.

Third title for the warthog is for reverse parking. Dude can reverse into a hole in the middle of a high speed chase 😂🤣 acceleration from zero is like a race car and brakes are instant.. i think its time we crown the right champions with all fairness.. if a cheetah can chase a hog and fail to catch it then we have a new champion, the V16 bi-turbo 6.5L AMG engine 🤣

Sasa ukweli ni upi? Nahitaji kujua zaidi kuhusu huyu Mnyama.

Nimewaona sana Kisarawe Pwani

View attachment 3124447wanasema Kwa Sasa ndoThe king of the jungle 😂😂View attachment 3124449Binafisi nafurahi sana pindi niliona clip zake jinsi anavyokimbia!!

View attachment 3124446
Aisee
 
Huyu jamaa kwanza ni mtukutu pili asipo toka nduki ajihisi aman kabisa ndio maana clip nyingi zinamuonesha jamaa yeye ndie mkorofi yani lazima atafute sababu za kupiga kibati hapendi kuona wenzie wametulia

Kuna clip nimeona simba alikua sijiu anamkimbiza sungura yule jamaa akaona usinitanie katoka mbio kawa over take simba na sungura 😂😂😂wake mpaka nikajiuliza sasa ilikua na umuhimu gani kufanya vile.
Huyu anakituko sana. Mara nyingi tu anaingilia zari lisilo muhusu. Niliona anakimbizwa na chitah mara akatokea ngiri mwingine nduki akampita chitah nduki. Sasa ikabidi chitah asimame tu ukiwaangalia🤣
 
Waulize wanaowinda , huyo analiwa sana mbona ila vurugu zake ni noma ...Kama utapiga risasi itachukua mda sana mpaka afe kabisa ,wana timing zao anaweza kujifanya amekufa hata baada ya 30 ila ukisogea anakumaliza .

Huyo hata ikitokea kajeruhiwa na simba au chui , purukushani zake ni noma .
Naona sana asee😹😹
 
Back
Top Bottom