Haka kadude ndio kana speed kubwa, ila kanazidi kuonekana na speed kutokana na ufupi wake,
Sifa nyingine ni kachokozii..
Clip nyingi tuu utakaona kanavizia simba, chui n.k kanawashtua mda mwingine kuwapiga pembe halafu kanatoka nduki, ndio watu wanasema eti kanafanya vile kutest turbo yake kama iko sawaa..
Pia kanatabia ya kusahau sanaa,
Pia hakakubari unyonge, clip utakaona kanakimbizwa kakiochoka kanakugeuzia kibao, kenyewe nyuma wewe mbele.
Hapa chui walikua wanakunywa maji kakapita nao
View: https://youtu.be/9LYOZFQIk_Y?si=ZCWtk4hLIA5PndA5
Hapa Simba wamelala, kakaenda kuwatest
View: https://youtu.be/PYdn_EoXgn4?si=vOUBdYa5GwVJD1fG
Hapa chui anawinda mzigo wake kenyewe kanamfuatq nyuma kumchokoza, windo likapotea chui akabahi haelewi
View: https://youtu.be/lBPLLgJumU4?si=HlHug30azITGLi2n
Hapa kamekimbizwa na Chui kufika mbele kakamgeuzia kibao
View: https://youtube.com/shorts/flYz2O6iSXk?si=hiBnCEJpgKH_iyaI
View: https://youtube.com/shorts/DjUs0irk1_A?si=r49i9Xa1l9xLmcCK
Hapa chui Wakigeuziwa kibao
View: https://youtu.be/Oyhk6kRAJW0?si=BAf42w-PZSG4Ezh5
Hapa katoto kamewakaziq simba wawili, wakashindwa kakasepa.
Kuna nyingine ngoja niitafute, Chui aliwavizia, yupo katikati ya speed yake kuwafikia, nao wakatoka nduki kumfuata, Chui aligeuka windo mwenyewe.