Ngiri (Warthog ): Naomba wataalamu watueleze Kwa kina kuhusu huyu Mnyama

Ngiri (Warthog ): Naomba wataalamu watueleze Kwa kina kuhusu huyu Mnyama

Ukisikia boda anakwambia, hapa ni mwendo wa ngirii, mkia juu achana naye. Huyo jamaa anapita katikati ya kundi la simba hadi simba wanatawanyika wanabaki wanashangaa nini kimepita hapa.
Sema akishikwa anapiga kelele unaweza muonea huruma
 
Nikionaga clips Zake hasa zikiwa zimetiwa sauti na Yule jamaa sijui jina lake Nani Basi Burudani.

Jamaa kajua kukapa Promo.

Kinaitwa King of Social media
Hahahaa. Wewe hujaona kale ka-ugonjwa kanaitwa ngiri kanavyopelekesha wanaume! Hako hakahitaji kupewa promo
Kanaitwa Queen of social men.
 
Sio kweli bhn kuna video clip kibao nimeona kule india wanawatega kwa nyavu wanawakama kwa mikono wakishanasa kwenye zile nyavu
Kama ni mtego si kawaida kama nguruwe, hata ukiwachimbia mtaro ni ngumu kutoka ...Waulize wawdandaji kama itatokea utamjeruhi kwa mshali au risasi , anakuwa na hasira.

Waulize wanaowinda nguruwe pori.
 
Back
Top Bottom