Ngiri (Warthog ): Naomba wataalamu watueleze Kwa kina kuhusu huyu Mnyama

Huyu jamaa kitu anawashinda wanyama wengine ni Intelligence pamoja na takeoff speed. Ila max speed ya warthog ni ndogo kulikp max speed ya simba na chita.

Ana imteëligence ya hali ya juu sana.. anaweza fake kwamba kaumia na akatembea kwa kuchechemea kumbe zuga tuu,

Ana sense ganger haraka sana..
 
Anaishia kwa mashaka kisenge.
Yani anapotoka maghetoni (Shimoni ) Ni spidi Kali Hadi kituo Cha nne ndio bus stop ya Kwanza.
Hiyo yote Ni kutokana na kukoswa na noma nyingi katika life yake.

So, yeye kachagua kusprinti tu Muda wote shati inapepea.
 
Anaishia kwa mashaka kisenge.
Yani anapotoka maghetoni (Shimoni ) Ni spidi Kali Hadi kituo Cha nne ndio bus stop ya Kwanza.
Hiyo yote Ni kutokana na kukoswa na noma nyingi katika life yake.

So, yeye kachagua kusprinti tu Muda wote shati inapepea.
Sio Watoto Wala mama Yao ni vagi tu akitembea dk1 kajitahidi mno
 
Huyu mwamba kabisa mwite
- v16 turbo engine (naye ataitika)
-The new king of savanna (atageuka)
-The most handsome king in the jungle (atakuangalia na kutabasamu)
-The king of reverse parking
- The king of showoff

Oyaaa wee! Huyu mwamba achana naye anauwezo wa kutimua vumbi mpaka kwenye tope.

Anaweza akawa anakimbizwa na adui gafla akaona chakula anachokipenda akapiga break Kwa dharau akaaza kukila then akiona umemkaribia anatoka na speed 120•5 mpka upepo wa eneo Hilo unachange direction.

Kuna mda kichwa chake kikichachuka Huwa haogopi mnyama wa aina yoyote Ile yaani hata Simba na chui siku iyo wanakimbizwa.

Pia hyu mwamba kila sehem anayokula Huwa anahakikisha Pana shimo la imejezi karbu na eneo Hilo ili lolote likitokea na siku hiyo hataki fujo za kukimbizana bas anaenda anachil kwenye shimo huku akikuangalia Kwa dharau.
Oya huyo mwamba anasifa nyingi sna

Huyo ndio mr warthog
 
Nimecheka sana,kwamba kanatest mitambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…