Bei zenu kua juu ni kitu kimoja,Soma vizuri boss, kwa huu mfumo utaokoa fedha nyingi sana.
Karibu sana boss,Bei zenu kua juu ni kitu kimoja,
Na Mimi kuokoa hela ni kitu kingine.
Ukiacha kula nyama ya Mbuzi ukaanza kula ya Ng'ombe ni kweli utaokoa hela. Lakini bado uko juu kulinganisha na anaekula Dagaa.
Umecheka nini boss, tushirikishaneDaaah wabongo bhana mecheka mno
Ok safiiiBoss yawezekana huko mbeleni serikali ikawaletea gesi na Dodoma pia. Na kama unavyojua hii biashara ya gesi inaangalia maeneo yenye magari mengi.
Ila inawezekana sana tukiwa na tenka la gesi linatoa gesi Dar es Salaam au Mtwara na kuileta huko Dodoma na kuijaza kwenye magari moja kwa moja.
View attachment 2387697View attachment 2387698
Karibu sanaOk safiii
Mkuu huu mfumo hauna hasara yeyote.Mkuu najua Unafanya tangazo lakini navojua kila chenye faida haikosi hasara zake tunaomba hasara zake uziweke nazo Hapa
Mkuu umechukua nissan chura?Nilifungaa gesi kwenye primio ilinisave kutoka 60,000 kwa siku 10 mpaka 25,000 gas na 20,000 mafuta ya kustart jumla 45,000 ila mlima lazima uswitch kwenye futa lasivyo gari linazima na system ya umeme na gari ilianza kuzingua dash board ilikuwa inazima tuu wakat kabla haikuzingua ila all in all gesi ni nzuri sana japo nimeuza nimehamia kwenye mgongo wa chura nakumbuka primio yangu huku nilipo futa la 40,000 siku tatu hamna kitu
HarrierMkuu umechukua nissan chura?
OkHarrier