Ngoja nikupe mifano ya hesabu inayoeleza faida za kutumia mfumo wa gesi kwenye gari yako na jinsi utakavyo okoa fedha nyingi

Bei zenu kua juu ni kitu kimoja,
Na Mimi kuokoa hela ni kitu kingine.

Ukiacha kula nyama ya Mbuzi ukaanza kula ya Ng'ombe ni kweli utaokoa hela. Lakini bado uko juu kulinganisha na anaekula Dagaa.
Karibu sana boss,
 
Nilifungaa gesi kwenye primio ilinisave kutoka 60,000 kwa siku 10 mpaka 25,000 gas na 20,000 mafuta ya kustart jumla 45,000 ila mlima lazima uswitch kwenye futa lasivyo gari linazima na system ya umeme na gari ilianza kuzingua dash board ilikuwa inazima tuu wakat kabla haikuzingua ila all in all gesi ni nzuri sana japo nimeuza nimehamia kwenye mgongo wa chura nakumbuka primio yangu huku nilipo futa la 40,000 siku tatu hamna kitu
 
Mkuu umechukua nissan chura?
 
Back
Top Bottom