N'golo Kante sifa zimemzidi hadi kiburi kinamnyemelea

Nakuuliza, unamchawia au maana wabongo mmezoea kuwavunjia watu nazi njia panda wakiwapa hasira. Ukiona anakuudhi sana nakushauri ujiue tu.
 
Hizo sio rafu mkuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787] hiyo uliyopost hapo juu ni tackling aliyo mchezea KDB na haikua foul Wala nini na hiyo picha sijui ni video uliyoiweka hapo chini ni editing au unatafita views youtube?

Au unatafuta attention ya watu humu? Haya kwahiyo ukijipost na magari yako unapoteza focus? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ngolo Kante hajawahi kujipost Mali zake hata sku moja Kama aliwahi weka picha humu
 
 
Na katika vitu vilivyompa credits nyingi kwenye game ya city, mojawapo ni hiyo tackle

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mwafrika akipata hela!!!!!!!!!!!!! Dunia nzima itajua, tofauti na white people


Mashkolo mageni bandugu
 
Amekusikia
Akaamua kupanda treni,akachelewa mazoezi
 
kikosi kazi cha majungu kazini,tafuta sana Mkuu acha kukaza fuvu kujadili mafinikio ya Kante
 
dah! Mkuu umenifurahisha sana hapo kwenye ' magari ya ajabu ajabu' [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] ..
 
Mwache atambe....

Katoka "kubovu sana" huyo....

Kaokota sana machupa ili akauze apate faranga chache....

Hebu funga macho na UJIWEKE KATIKA VIATU VYAKE....🤣🤣
 
Mwache ale kuku zake kwa mrija maisha yenyewe haya si FOREVER. Na angekuwa anacheza rafu sana angepigwa red card, sijaliona hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…