Leonard Robert
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 11,125
- 7,373
🤣🤣🤣🤣🤣Nowadays imekua simple sana kuanzisha thd hapa JF
Picha si ya muda mrefu tu bali niyakutengeneza.Ni kweli kabisa. Huyu kaanza kumfuatilia juzi, ndo maana katuwekea picha ambayo hata ukiitazama kwa macho tu unagundua ni ya muda mrefu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo sababu CHELSEA FC ni mabingwa wa Ulaya na domestic cup (FA)..Sawa sijakataa. Lakini zamani hizi rafu hazikuwepo. Yani kante sasa hivi anatandaza rafu sana. Ni Hulka ya mwanadamu akisifiwa sana
Uchambuzi mzuri sana mkuu.Ndiyo sababu CHELSEA FC ni mabingwa wa Ulaya na domestic cup (FA)..
Bila ya hizo "technical tackling" zake ambazo wewe unaziita "rafu" usingeona Chelsea wakiweka kabatini makombe maarufu mawili...!
Unamkumbuka Roy Kean aliyekuwa kiungo mkabaji hatari wa Man Utd au Steven Gerrad wa Liverpool FC...?
Hawa wote walikuwa viungo wakabaji wa sampuli ya Ng'holo Kante. Bila tacklings za aina ya Kante, Roy Keane, Steven Gerrard au Paul Scholes timu yako haiwezi kutoboa...
Hayo ya nje ya soka umetia chumvi tu kwa kuokoteza vihabari vya kutengeneza ktk mitandao na kudhani Kante ndivyo alivyo...!
PhotoshopHaya, nyingine hiyo. Wewe pambana na hali yakoView attachment 1807204
Yaan zama zipi hizo ambazo hakukuwa na rafu??? Zama za akina Patrick Viera ama Jean Claude Makelele??? Kante bado sana rafu zake hazijafikia miamba hao wawili kwahiyo hana mwenendo mbaya.Sawa sijakataa. Lakini zamani hizi rafu hazikuwepo. Yani kante sasa hivi anatandaza rafu sana. Ni Hulka ya mwanadamu akisifiwa sana