Ngoma bado mbichi kabisa, Harmonize na feminist Gyumi wameandaa maandamano makubwa Wasafi HQ


Harmo mzee wa "yudebasti mai medulla" [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Nimeona video Harmonize anahojiwa, yaani kila sentensi mbili anatupia humo na kimombo. Sasa hicho kimombo chenyewe sasa, we acha tu.
 
Kwa kuwa unaongea kwa utani sikulaumu
Wala sitanii, ikithibitika umefanya ngono na mtoto chini ya miaka 18 unafungwa.
Mimi nataka huyu msanii na washirika wake wafungwe ili liwe fundisho kwa wahuni wengine.
Huwezi kufanya ufedhuli kama huu na kitoto, kisha ukajirekodi na kutuma mtandaoni ni ushenzi (barbarism)
 
Paula anaelekea 20 huko....
 
Hii picha ilipostiwa na mama yake mzazi Kajala,ktk acc yake binafsi ya Insta.2018 july binti alitimiza miaka 16,kimahesabu mwaka huu July anatimiza miaka 19.



Akizungumzia hilo kupitia EATV Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni ACP Japhet Kibona ameeleza kuwa “Ni kweli walikamatwa jana, hii ni kesi ya polisi na hupaswi kueleza walichokizungumza ni nini ila kilichopo ni kusambaza picha kwenye mtandao bila ridhaa ya mmoja wapo mwenye hizo picha, Hamisa na Rayvanny walidhaminiwa wote“. “Tunaendelea na uchunguzi kwa kilichofanyika na uchunguzi wetu na upelelezi ndio utakaoridhia, pia kuna Mwanasheria ambaye atapitia kama kilichofanyika ni kosa la kijinai au la”
 
Paula ni mtoto? 18+ tz sio mtoto,sheria ya ndoa tz,msichana wa miaka 13 anaweza kuolewa kwa ruhusa ya wazazi.

Paula pia sio mwanafunzi,hayupo katika mfumo rasmi wa elimu,alipata zero

Badae akatafuta credit kama private candidate,private kandidate hana kinga ya uanafunzi maana wapo wake za watu wanasoma.

Hapo kuna kesi ya mtandao tu
 
Kuoza mtoto chini ya miaka 18 ni kukiuka katiba ya Jamhuri ya Tanzania.
Pili, suala siyo Paula kuwa mwanafunzi, suala ni kufanya mapenzi na mtoto wa chini ya miaka 18.
Tatu, ikithibitika kwamba Paula ni mtoto wa chini ya miaka 18 huyo Rayvanny atapelekwa jela kwa ubakaji.
 
Hata Lulu aliweka cheti chake cha kutimiza miaka 18 magazetini, yalipotokea ya Kanumba akasema kwamba yeye ni mtoto chini ya miaka 18. Sasa ikithibitika kwamba Paula ni mtoto chini ya miaka 18 Rayvanny ataenda jela kwa kosa la ubakaji.
Paula anaelekea 20 huko....
Ikithibitika Paula ana miaka ni mtoto wa miaka 18 Rayvanny ataenda jela kwa kosa la ubakaji,
Huku Hamissa akiwekwa ndani kwa ushiriki wake.
It's just simple like that....
 
Peleka vyeti vyako Kwa kondeboy ukamsaidie
 
As if Rêyvany ndio kamtoboa huyo 'mtoto'. Mtoto anafuata nyayo za mama kwani inaonekana naye alianza kugongwa akiwa mdogo
 
Izi drama tu Yan kelele zote zile police na mambo mengine ila Leo alie Semwa kanyweshwa pombe interview yake ya kwanza kaenda kufanya wasaf huon kama ni Maigizo hayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…