Ngoma bado mbichi kabisa, Harmonize na feminist Gyumi wameandaa maandamano makubwa Wasafi HQ

Harmo mzee wa "yudebasti mai medulla" [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]

Goodmorning Tanzania [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] eti yudebast [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Safi sana Harmonize, tena anzisha na NGO ya kuwasaidia wasichana na wanawake kupambana na udhalilishani mitandaoni nakuwawezesha kiuchumi.

Tumia nafasi yako ya kioo cha jamii uwe kioo kweli, uwe mfano wa kuigwa kwa watoto wetu wa kiume, kaka, wajomba babu, baba, shemeji na washkaji . Pigania haki. Mungu akusimamie. Ulimwengu ukusikize.
 
Nani kakudanganya huyo Paula yupo chini ya miaka 18 au udandia train ebu ifatie hii issue alafu njoo Tena uandike
 
Kwasiku unakata gogo malangapi
 
Huyo mtoto siyo minor.
 
Amefanya collabo na Ali Kiba?
Wasafi kupitia kwa Rayvanny wame mgegeda na kumnywesha pombe mtoto wake wa mkopo anaesoma form 5 (Mtoto Wa Kajala), na kumrekodi kideo kisha kutupia instagram.

Sasa baba wa kambo Harmonize anataka kumfunga Rayvanny miaka 30 kwa kutembea na mwanafunzi (mwanae wa mkopo).
 
Khaaaa! Dunia simama nishuke tafadhali.
 
Huyo Rebeka anakua kama kilaza sana wakati mwingine, Hivi unaendaje kujifanya unamtetea mtoto alieshindikana?
 
Naona anataka kuwatoa upepo ili afidie zili milioni 500 za yeye kuvunja mkataba
Hizi figure wanazotaja huwa wanazo au kiki, harmonizer mm sikujua gari anatembelea AUDI tena bado bora ingekuwa yake ni ya x wake sarah, na kampokonya. Kuna rumous wazaz wake huko ntwara hawana chochote mfukoni! Nahisi kwa sasa harmonizer hana hata gari moja.

Hizo milion 500 zilotokea wap?

Hawa watu wanaishi maisha ya drama sana ndio shida yao, mwisho wa siku wakipata shida watu hatushtuki tukijua wana hela kumbe hakuna kitu
 
Unapeleka vipi kwenye Deski la Jinsia na Watoto?! Mtoto hapo ni nani?!
 
Huyo gyumi kakosa kazi!
NGO yake ya msichana initiative imeshindwa wasaidia wasichana kazi kula za wafadhili naona amehamia kwenye mapenzi ya watu.Akumbuke Paula sio mwanafunzi batch yake ilishatoka na yeye alikuwa private candidate Yuko nje ya mfumo yasije mgeuka huko mbeleni na huyo chinga.
 
Mzee, muziki unalipa, unachohitaji ni fan base tu jambo ambalo kwa WCB sio tatizo. Harmonize wakati yupo WCB kupata Views 5M+ za Youtube ilikuwa kawaida sana na ana total views zaidi ya 300M+! Kwenye hizo 300M+ peke yake anakula hiyo 500M na zaidi, hapo bado hujahesabu pesa za ambassadorship, shows na streaming. Usione wasomi tumepigika ukadhani kila mahali kuna njaa kama kwa wasomi. Na ndo duniani kote ipo hivyo. Kazi unazoweza kuona ni za kifala fala ndo hizo hizo watu wanatengeneza millions huku msomi akibaki na midigrii yake inayomwingiza 500K to 2M kwa mwezi
 
Paula ni 18+, na tena anakimbilia 20 hivi sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…