Ng'ombe mwenye thamani ya IST

Ng'ombe mwenye thamani ya IST

Habari njema kwa wafugaji wa Ng'ombe Mbuzi na Kondoo
IMG-20240109-WA0002.jpg
 
Boran bull anapatikana SA mnadani anauzwa kuanzia rand 2m kuendelea mpaka 3m pana mfugaji mmoja wa Arusha miaka ya nyuma alimnunua nadhani haikupungua 60m kwa kipindi hicho ila gharama ya kupandisha ng'ombe kwake ipo juu sana inaendana na gharama za kumtunza huyo Boran bull..
Unapandisha kwa kutumia AI tu.
 
Ayabakii Kila siku utauza yote tuu??
Acha kufikiria usawa wa magoti, demand ni kubwa kuliko mahitaji...sio lazima uuze maziwa, unaweza ukauza siagi, rahisi sana kutengeneza soko ni easy, unaweza ukauza mtindi, unaweza ukapack UHT, unaweza ukatengeneza maziwa ya unga
 
Biashara ya pdf
Na ya excel pia formular ziko linked ukidrag net profit mamilioni mpaka utajiuliza why nahangaika wakati fursa kumbe zipo anza kufuga sasa utaona mapichapicha yoooooote
 
Acha kufikiria usawa wa magoti, demand ni kubwa kuliko mahitaji...sio lazima uuze maziwa, unaweza ukauza siagi, rahisi sana kutengeneza soko ni easy, unaweza ukauza mtindi, unaweza ukapack UHT, unaweza ukatengeneza maziwa ya unga
Tumia asilimia Moja ya akili Yako angalau
 
Back
Top Bottom