Ng'ombe mwenye thamani ya IST

Ng'ombe mwenye thamani ya IST

Unafunga tela kama farasi wanavyo
Fanyaga kuke kwenye nchi za wenzetu😂😂😂
Lakini hata huku kwetu huo usafiri unatumika sana tu ingawa mara nyingi ni punda ndiyo wanaokokoteshwa "mtela"
 
Yap mpaka 2 tonnes! Wapo Kongwa kwa anaetaka Mbegu

IMG_4572.jpg
 
Uzitowake si chini ya kilo 1,000 yaani tani moja.
Umenikumbusha Kikwete alikwenda Zimbabwe akashangaa kuona ng'ombe anauzito unaozidi tani moja, mpaka anaondoka madarakani hakuiwezesha nchi iwe na ng😱mbe wa aina hiyo, hapo ndipo utaona ziara zao huwa kwa manufaa yao tu.
Unajuaje labda ktk wale ng'ombe wake wapo aina hiyo, anawazalisha wengi asambaze mbegu kwa watanzania wengi?
Rejea: Kuna kipindi alionesha shamba lake la sweet yellow corns (mahindi ya njano) kwa ajili ya malisho ya mifugo.
 
hii hesabu haina uhalisia mkuu, utaingia chaka buree, halafu lita 60 kwa siku? sipingi ila kwa tanzania sidhani kama kuna ngombe wa kutoa hzo lita kwa siku.
Si umemuona kwenye Video hapo?Tembo anatoa lita 60 kwa siku anakamuliwa mara 3 kw siku.Which means analishwa Pia mara tatu kwa siku n kupewa maji ya kutosha na madini.
 
Unajuaje labda ktk wale ng'ombe wake wapo aina hiyo, anawazalisha wengi asambaze mbegu kwa watanzania wengi?
Rejea: Kuna kipindi alionesha shamba lake la sweet yellow corns (mahindi ya njano) kwa ajili ya malisho ya mifugo.
🙏
 
Si umemuona kwenye Video hapo?Tembo anatoa lita 60 kwa siku anakamuliwa mara 3 kw siku.Which means analishwa Pia mara tatu kwa siku n kupewa maji ya kutosha na madini.
🙏🙏🙏
 
Si umemuona kwenye Video hapo?Tembo anatoa lita 60 kwa siku anakamuliwa mara 3 kw siku.Which means analishwa Pia mara tatu kwa siku n kupewa maji ya kutosha na madini.
Kuna uwezekano mkubwa amezidisha kiwango cha maziwa anayotoa kwa siku. Lita 60 haina uhalisia.
Anataka mkanunue mbegu kwake awapige bei kubwa.
 
Back
Top Bottom