Najaf
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 1,505
- 2,393
watakuambia yakibaki yanafaanywa mtindiAyabakii Kila siku utauza yote tuu??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
watakuambia yakibaki yanafaanywa mtindiAyabakii Kila siku utauza yote tuu??
Hapo ndiyo mpaka upate uhakika wa ngo'mbe wako kukupa hizo lita 60, kumbuka huwa kuna siku anatoa maziwa pungufu na pia uwe unauza hayo maziwa yote kila siku yasibaki hata glasi mojaKwahiyo lita 60kwa siku x 1,500=90,000 kwa siku. Kwa mwezi 90,000x30=2,700,000. Kwa mwaka 2,700,000x12=32,400,000
Hapo bado hujalipa mkata majani + gharama ya usafirishajianakula nusu pick up peke yake kwa siku.. kwa mwezi anaweza kuwa anakula almost laki 4 peke yake 😂
ufugaji ni utajiri mkubwa sanaSasa kama anakupa Lita 20 Tu x 2000= 40,000 Kwa siku x 30= 1,200,000 x mwaka= 14,000,000 toa 2,000,000 za kumtunza unarejesha pesa yote ...hapo ndama na mbolea sijaweka.Kuanzia mwaka wa 2 ni faida tu
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Na hawezi kuwa anatoa hizo lita 60 kila siku, kuna siku yatakuwa chini ya hapohii hesabu haina uhalisia mkuu, utaingia chaka buree, halafu lita 60 kwa siku? sipingi ila kwa tanzania sidhani kama kuna ngombe wa kutoa hzo lita kwa siku.
Nilibahatika kuona Ng'ombe aliopewa zawadi na chuo cha kilimo.wakati anastaafu, walikuwa ni wakubwa Sana, wenye uzito huo. Chuo Cha mpwapwa kinazalisha boran hivyo hao Ng'ombe wapo kitamboNimeandika kutokana na wakati ule akiwa rais, huenda wakati ule hatukuwa nao.
Ng'ombe wa kutoa Lita hizo wapo Ila ukiwaleta huku kutokana na.mazingira watatoa Lita chacheNa hawezi kuwa anatoa hizo lita 60 kila siku, kuna siku yatakuwa chini ya hapo
Ndo teyar Sasa ukiwa mtindi inamana ushashuka thamani na hata huo mtindi nao autouza wote utabaki TU na utaozaa vilevilewatakuambia yakibaki yanafaanywa mtindi
Sasa kama anakupa Lita 20 Tu x 2000= 40,000 Kwa siku x 30= 1,200,000 x mwaka= 14,000,000 toa 2,000,000 za kumtunza unarejesha pesa yote ...hapo ndama na mbolea sijaweka.Kuanzia mwaka wa 2 ni faida tu
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Ng'ombe wa kutoa Lita hizo wapo Ila ukiwaleta huku kutokana na.mazingira watatoa Lita chache
Ufugaji unalipa, ila sio rahisi kama mwamba anavochukulia.Kwa hesabu za makaratasi biashara moja amazing haha
Unaweza kujua ndama dume wa miezi 5 had mwaka wanauzaje mkuu wangu.,?Yap mpaka 2 tonnes! Wapo Kongwa kwa anaetaka Mbegu
wanapatikana wapi mkuu, mm hata akinipa lita 30 kwa siku wastan kwa miezi sita tu bado ni bingo.Ng'ombe wa kutoa Lita hizo wapo Ila ukiwaleta huku kutokana na.mazingira watatoa Lita chache
Mkuu, 60m ya wapi?Boran bull anapatikana SA mnadani anauzwa kuanzia rand 2m kuendelea mpaka 3m pana mfugaji mmoja wa Arusha miaka ya nyuma alimnunua nadhani haikupungua 60m kwa kipindi hicho ila gharama ya kupandisha ng'ombe kwake ipo juu sana inaendana na gharama za kumtunza huyo Boran bull..
✅🙏Sasa kama anakupa Lita 20 Tu x 2000= 40,000 Kwa siku x 30= 1,200,000 x mwaka= 14,000,000 toa 2,000,000 za kumtunza unarejesha pesa yote ...hapo ndama na mbolea sijaweka.Kuanzia mwaka wa 2 ni faida tu
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Mbona nasikia ng'ombe wa aina hiyo tayari wapo nchini?Uzitowake si chini ya kilo 1,000 yaani tani moja.
Umenikumbusha Kikwete alikwenda Zimbabwe akashangaa kuona ng'ombe anauzito unaozidi tani moja, mpaka anaondoka madarakani hakuiwezesha nchi iwe na ng😱mbe wa aina hiyo, hapo ndipo utaona ziara zao huwa kwa manufaa yao tu.
Mkuu inaelekea huwapendi motivational speakers! Ni watu wa muhimu sana. Wanaheshimika mno huko "mambele"Ila nyie motivation speakers huwa mnaongea vitu kiurahisi rahisi sana