Ng'ombe mwenye thamani ya IST

Kwahiyo lita 60kwa siku x 1,500=90,000 kwa siku. Kwa mwezi 90,000x30=2,700,000. Kwa mwaka 2,700,000x12=32,400,000
Ng'ombe kama huyo anajitosheleza kujihudumia chakula, mfanyakazi, madawa, n.k. na bado mfugaji atapata faida nzuri
 
mkuu, 3,000,000 × 160 = 480,000,000 (milioni mia nne themanin hela ya kitanzania) hii inaingia akilini kweli?

ngombe mmoja?
Akili ya wapi unaitafuta angalia mtandaoni ng'ombe wa Ramaphosa anauza bei gani mnadani aliwahi uza ng'ombe kadhaa hela akaenda kuficha shambani huko huko wahuni wakazipitia hakupeleka Bank ilitaka kumtoa kwenye Urais kwa kukwepa kodi...
 
sawa umeshinda wauliuzwa hyo bei, temana na mm basi, ila hakuna mtu hapa duniani anaweza kubaliana na huu upuuzi, ngombe mmoja milioni 400+, only mwenye mtindio wa ubongo atakubali.
 
sawa umeshinda wauliuzwa hyo bei, temana na mm basi, ila hakuna mtu hapa duniani anaweza kubaliana na huu upuuzi, ngombe mmoja milioni 400+, only mwenye mtindio wa ubongo atakubali.
Mkuu kuwa mstarabu usitukane kwa vitu usivyovijua mimi mwenyewe nilikataa ila asubuhi nikajiridhisha hao jamaa wanauziana mpaka kesho hizo bei hapo Mpumalanga Auction ni swala la kutembea tu uone maajabu ya Dunia huyo ni ng'ombe umeruka hivyo vipo vitu vingi vingi...shida Tanzania Ugali umetudumaza Ubongo usichoweza wewe unadhani kila mtu hawezi tembea zunguka Dunia uone maajabu yake...
 
sawa, nimekubali wanauziana mpaka rand 10m hapo kwenu mpumalanga, una jingine?
 
Wale ng'ombe waliletwa Tanzania, siku roli zinavuka nilikuwa border Tunduma na zilikuwa na escort baada ya kuanza safari.
 
Kwahiyo lita 60kwa siku x 1,500=90,000 kwa siku. Kwa mwezi 90,000x30=2,700,000. Kwa mwaka 2,700,000x12=32,400,000
Umewahi kufuga ng'ombe au walau kuishi karibu na mfugaji? Ng'ombe akizaa wingi wa maziwa haupo constant. Kadiri muda unavyoenda ndivyo maziwa yanavyopungua. Na siku za mwanzo kabisa baada ya kuzaa, maziwa siyo mengi sana halafu inabidi yamwagwe.
 
Biashara ya pdf
Pdf hainyumbuliki...

hiyo ni biashara ya excel, unainyumbua unavyotaka, unaonyesha mafaida ya kufa mtu...unaweza kujenga magorofa na ukanunua masemi ya kubeba copper from Zambia to Bandari Salama...[emoji16]

Ukiingia field sasa....utaimba haleluya!
 
kwa hyo jk yeye ana ng'ombe kama hao? kuna mwamba alishasema hapa jf kuna kwenye baadhi ya ranch za taifa tuna pure breed ya boran, ambao nao kwenye uzito wanatisha.
Mwaka jana kuna Boran aliuzwa kwa mnada...10million pale ubena zomozi highland estates, Mbogo farm kwa akina Mulla.

Ilikuwa ni kwenye exhibition za commercial cattle farmers...!
 
Mwaka jana kuna Boran aliuzwa kwa mnada...10million pale ubena zomozi highland estates, Mbogo farm kwa akina Mulla.

Ilikuwa ni kwenye exhibition za commercial cattle farmers...!
aisee hao ngombe nawatamanigi sana, ukiwa nao kumi tu unakunja 100m yako safiii, hata kama watakuwa wamekula 60m bado faida ya 40m si haba aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…