Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Mkuu mwaka huu kauzwa rand 3m zidisha mara Tsh 160 upate hela za kitanzania unaweza kudhani unadanganywa hata mtandaoni yupo...Mkuu, 60m ya wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu mwaka huu kauzwa rand 3m zidisha mara Tsh 160 upate hela za kitanzania unaweza kudhani unadanganywa hata mtandaoni yupo...Mkuu, 60m ya wapi?
mkuu, 3,000,000 × 160 = 480,000,000 (milioni mia nne themanin hela ya kitanzania) hii inaingia akilini kweli?Mkuu mwaka huu kauzwa rand 3m zidisha mara Tsh 160 upate hela za kitanzania unaweza kudhani unadanganywa hata mtandaoni yupo...
Ni hela nyingi sana mkuu! Zaidi ya Tsh 400,000,000/=Mkuu mwaka huu kauzwa rand 3m zidisha mara Tsh 160 upate hela za kitanzania unaweza kudhani unadanganywa hata mtandaoni yupo...
✅Kasema lita 60 kwa siku! Rekebisha mahesabu! Na maziwa bei ni 1,500 kwa lita
Ng'ombe kama huyo anajitosheleza kujihudumia chakula, mfanyakazi, madawa, n.k. na bado mfugaji atapata faida nzuriKwahiyo lita 60kwa siku x 1,500=90,000 kwa siku. Kwa mwezi 90,000x30=2,700,000. Kwa mwaka 2,700,000x12=32,400,000
mkuu we ni mfugaji au ni mtazama video za wafugaji yutubu?Ng'ombe kama huyo anajitosheleza kujihudumia chakula, mfanyakazi, madawa, n.k. na bado mfugaji atapata faida nzuri
Hao wazee wa kilimo cha pdf mkuumkuu we ni mfugaji au ni mtazama video za wafugaji yutubu?
Akili ya wapi unaitafuta angalia mtandaoni ng'ombe wa Ramaphosa anauza bei gani mnadani aliwahi uza ng'ombe kadhaa hela akaenda kuficha shambani huko huko wahuni wakazipitia hakupeleka Bank ilitaka kumtoa kwenye Urais kwa kukwepa kodi...mkuu, 3,000,000 × 160 = 480,000,000 (milioni mia nne themanin hela ya kitanzania) hii inaingia akilini kweli?
ngombe mmoja?
sawa umeshinda wauliuzwa hyo bei, temana na mm basi, ila hakuna mtu hapa duniani anaweza kubaliana na huu upuuzi, ngombe mmoja milioni 400+, only mwenye mtindio wa ubongo atakubali.Wewe jamaa hao watu waliuziana mnadani bei hiyo mimi situkani na nilibisha kama wewe hivi kutukana ni ujanja au ni matatizo fulani unakua nayo inawezekana vip unamtukana mtu hata humjui na vitu huvijui pia...Boran wa Ramaphosa aliuzwa rand 3m na SA ilizungumzwa mno mno usijifanye mjuaji wakati hujui kitu faza..
Mara mia ufuge mbwa,kama unataka hela. Maziwa nunua tu.
Mkuu kuwa mstarabu usitukane kwa vitu usivyovijua mimi mwenyewe nilikataa ila asubuhi nikajiridhisha hao jamaa wanauziana mpaka kesho hizo bei hapo Mpumalanga Auction ni swala la kutembea tu uone maajabu ya Dunia huyo ni ng'ombe umeruka hivyo vipo vitu vingi vingi...shida Tanzania Ugali umetudumaza Ubongo usichoweza wewe unadhani kila mtu hawezi tembea zunguka Dunia uone maajabu yake...sawa umeshinda wauliuzwa hyo bei, temana na mm basi, ila hakuna mtu hapa duniani anaweza kubaliana na huu upuuzi, ngombe mmoja milioni 400+, only mwenye mtindio wa ubongo atakubali.
sawa, nimekubali wanauziana mpaka rand 10m hapo kwenu mpumalanga, una jingine?Mkuu kuwa mstarabu usitukane kwa vitu usivyovijua mimi mwenyewe nilikataa ila asubuhi nikajiridhisha hao jamaa wanauziana mpaka kesho hizo bei hapo Mpumalanga Auction ni swala la kutembea tu uone maajabu ya Dunia huyo ni ng'ombe umeruka hivyo vipo vitu vingi vingi...shida Tanzania Ugali umetudumaza Ubongo usichoweza wewe unadhani kila mtu hawezi tembea zunguka Dunia uone maajabu yake...
Namaanisha mbwa wana hela kuliko ng'ombeUna maana gani kusema hivo
Wale ng'ombe waliletwa Tanzania, siku roli zinavuka nilikuwa border Tunduma na zilikuwa na escort baada ya kuanza safari.Uzitowake si chini ya kilo 1,000 yaani tani moja.
Umenikumbusha Kikwete alikwenda Zimbabwe akashangaa kuona ng'ombe anauzito unaozidi tani moja, mpaka anaondoka madarakani hakuiwezesha nchi iwe na ng😱mbe wa aina hiyo, hapo ndipo utaona ziara zao huwa kwa manufaa yao tu.
Umewahi kufuga ng'ombe au walau kuishi karibu na mfugaji? Ng'ombe akizaa wingi wa maziwa haupo constant. Kadiri muda unavyoenda ndivyo maziwa yanavyopungua. Na siku za mwanzo kabisa baada ya kuzaa, maziwa siyo mengi sana halafu inabidi yamwagwe.Kwahiyo lita 60kwa siku x 1,500=90,000 kwa siku. Kwa mwezi 90,000x30=2,700,000. Kwa mwaka 2,700,000x12=32,400,000
Pdf hainyumbuliki...Biashara ya pdf
Mwaka jana kuna Boran aliuzwa kwa mnada...10million pale ubena zomozi highland estates, Mbogo farm kwa akina Mulla.kwa hyo jk yeye ana ng'ombe kama hao? kuna mwamba alishasema hapa jf kuna kwenye baadhi ya ranch za taifa tuna pure breed ya boran, ambao nao kwenye uzito wanatisha.
aisee hao ngombe nawatamanigi sana, ukiwa nao kumi tu unakunja 100m yako safiii, hata kama watakuwa wamekula 60m bado faida ya 40m si haba aiseeMwaka jana kuna Boran aliuzwa kwa mnada...10million pale ubena zomozi highland estates, Mbogo farm kwa akina Mulla.
Ilikuwa ni kwenye exhibition za commercial cattle farmers...!