Ngono na mtu aliyejeruhiwa

Mkuu subiri upone bhana piga puchu kidogokidogo hadi upone.
 
Habarini
Wana jf
Nina swali kidogo
Hivi mtu aliyejeruhiwa kichwani mfano kukatwa na panga kwenye utosii
Anaruhusiwa kufanya mapnz
Au mpka apone kabisa?
Na je akifanya hajapona kuna madhara gani?
Subiri apone kwanza. Anaweza kupata internal bleed au kuzimia wakati wa Tendo.
 
Habarini
Wana jf
Nina swali kidogo
Hivi mtu aliyejeruhiwa kichwani mfano kukatwa na panga kwenye utosii
Anaruhusiwa kufanya mapnz
Au mpka apone kabisa?
Na je akifanya hajapona kuna madhara gani?
Uroho gani huo, hebu muache majeruhi walau vidonda vikauke, siku moja tu kiu kama umetoka jela....
 
Ukifanya naye mapenzi jeraha litakuwa kubwa, halafu atakuambukiza ngeo. πŸ˜πŸ™Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…