Ngono ni ibada na madhabahu

Ngono ni ibada na madhabahu

Mvuto inamaana huna mikosi ..ikiwa kila sehemu utakayopita kama maofisini na masokoni utapata msaada au chochote kile bila kutumia nguvu basi wewe nguvu chanya yako iko juu, dalili za kutambua nguvu chanya yako iko juu. ( 1) ukiwa kwenye kundi la watu ukaanzisha mada watu huvutiwa kukusikiliza. (2 ) kuna watu ukiwazingua wanaumia sana na kuhisi hawawezi kuishi bila wewe. ( 3) kufika sehemu ambayo hujawahi kuishi na sehemu hiyo watu kukuzoea kwa haraka na kukuamini
SAHIHI
 
Yaani iko hivi
NGUVU na usafi wa kiroho vina mahusiano makubwa sana na ngono.. Kadiri unavyofanya ngono na watu wachache ndivyo nguvu na usafi wako kiroho unavyokuwa mkubwa
LAKINI
Kadiri unavyongonoka na wengi unatapanya nguvu zako huku nawe ukibeba nguvu zao.. Hatufanani nguvu, hivyo mwisho wa siku unajikuta una mixer moja hatari sana ya NGUVU tofauti mwilini mwako

Hizo sasa ndio zitakuletea stress, mikwamo, nuksi hasira kupoteza vitu kushindwa nknk
Ohoo nimeelewa sasa ibada za kujitenga na jimai na kula nyama lengo lake ndo hili hapa.[emoji122]
 
spiritual transfer, wakati wa kufanya ngono milango ya kinafsi na kiroho hufunguka baina yao. But unaweza fanya ngono na mtu mpaka kumaliza ukiwa hujaruhusu kabsa kufunguka kwa milango hyo ya nafsi na kiroho kwa kujua au bila kujua. Ubongo ndio funguo ya hiyo milango miwili muhimu.
 
Yaani iko hivi
NGUVU na usafi wa kiroho vina mahusiano makubwa sana na ngono.. Kadiri unavyofanya ngono na watu wachache ndivyo nguvu na usafi wako kiroho unavyokuwa mkubwa
LAKINI
Kadiri unavyongonoka na wengi unatapanya nguvu zako huku nawe ukibeba nguvu zao.. Hatufanani nguvu, hivyo mwisho wa siku unajikuta una mixer moja hatari sana ya NGUVU tofauti mwilini mwako

Hizo sasa ndio zitakuletea stress, mikwamo, nuksi hasira kupoteza vitu kushindwa nknk
Sasa kiongozi, kama umeshapitia harakati hizo za kuchanganya watoto wa kike. Unajisafisha kivipi maana naona kama hii mada inanikatisha tamaa. Mimewataguna sana Hawa viumbe.

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Yote hayo yanategemea na nyota ya uyo unayepiga,
ndo maana usishangae Wengine wanatumia gharama Kubwa kufanya ngono na flani, Tena kwa ushindan mkubwa sn.

Jicho la tatu lishaona, Ukipiga pale unatoboa.

Ngono inaweza kua Njia ya mafanikio/mikosi[emoji4]
Hata kwa wanaume hii ipo saana tu.
 
Sasa kiongozi, kama umeshapitia harakati hizo za kuchanganya watoto wa kike. Unajisafisha kivipi maana naona kama hii mada inanikatisha tamaa. Mimewataguna sana Hawa viumbe.

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Time heals..kuna mambo hutibiwa na muda lakini lazima kwanza ufanye detachment
 
Wakati unaandika hii comment ulikuwa katika state gani kifikra? Sijaelewa kitu..au mimi ni kiazi!!
NGONO

Nishati ya ngono imetumiwa vibaya sana, kwa hivyo mateso yetu yote yanatoka. Sio "kuwa nayo", lakini "kuitumia vibaya" kuwaumiza wengine kwa kujifurahisha kwa gharama ya wengine, ambayo inafanya uharibifu.

Ni kuiona kama kazi ya mwili tu au hamu inayohitaji kulishwa, kwa hivyo yote ni 'Ninaihitaji sasa haijalishi ni vipi na sijali ni nani ataumia kwa sababu mahitaji yangu huja kwanza.

Ni kutumia ngono kwa starehe potofu kwa kutumia maisha yasiyo na hatia.

Ni maumivu mbalimbali kutumia kama raha lakini yamepita zaidi ya kile kinachokubalika na binadamu, kuweka mipaka ya mbinu za kichaa bila madhara au kukubali kuwajibika "siku inayofuata.

Matumizi mabaya ya ngono yanaumiza sana, na yanaweza kusababisha uharibifu wa kihisia hadi kufikia hatua ya kuua au kulipiza kisasi kwa sababu ya maumivu mabaya.

Ngono iko kwenye akili za wanadamu karibu masaa 24 kwa siku, na hata wakati wa kulala. Hivyo ni dhahiri kwamba, humo kuna haja ya kuboresha ufahamu wetu kwa sababu ni sehemu ya kile kinachotusukumakila siku.

Wakati hatujisikii kulishwa kiroho, tunatamani mtu azibe pengo hilo. Na unapokuwa katika hali hiyo, upweke huo huanza kuwinda. Je! unadhani inaonyeshwa wapi kwanza? Katika hamu ya ngono. Kisha mtu yeyote wa karibu vya kutosha kutoa utulivu kidogo anaweza kuwa lengo la upendo wako.

Unaunda 'wazo la mtu fulani kwa ajili yako, lakini yote ni Mawazo yako.

Ikiwa unacho tu ni hamu ya ngono kutokana na upweke, basi hiyo upweke unaongoza hamu yako, kwa maumivu zaidi ya moyo.

Jinsi ya kushinda hilo na kuhisi amani ndani yako ni juu yako na wewe peke yako. Ngono ni sehemu ya asili yetu ya kawaida, si aibu, lakini jinsi tunavyoitumia, ni wajibu wetu.

Hutaki mtu akudhuru, basi usimdhuru mtu yeyote mwenyewe. Na kuificha haitafanya kazi kamwe, inarudi kukupiga usoni kama kutema mate kwenye upepo mapema au baadaye.
 
Bora hata
Hakuna cha ubora wowote ule.

Tena huko ndiko kuna utumwa kuliko hata ufikiriavyo, mbegu zinawezachukuliwa na majini na kufungiwa roho za kishetani ambazo hutahitaji kamwe kusex na Me wala Ke halisi zaidi ya pepo mchafu aliyekujaa kichwani kukutumikisha kiakili na kimwili hatimaye ukaishia kuwa mtumwa maisha yako yote hadi kifo.

Niliwahi kuishi ktk utumwa huo zaidi ya miaka 8, nikiwa napiga punyeto zaidi ya mara 6(goli) kwa siku 1.

Nilijitahidi sana kuacha kwa akili zangu lakini nilichemka.

Wakati mwingine nilikuwa naweza kukaa hata zaidi ya miezi mitatu bila kujichua lakini siku nikikumbuka tu ndipo najikuta nimerudia uhalisia ule ule kama awali.

Yani unapiga goli 6 kwa siku 1, una demu wa kunyaduana naye wakati wowote na bado tena unaingia chimbo kununua Malaya, unadhani ni akili za Binadamu wa kawaida hizi?

Nilifunga kwa siku 7 kumwomba Mungu anisaidie kutoka katika hicho kifungo ndipo Mungu alinisikia na kunijibu, hadi sasa nina zaidi ya miaka 10 bila kupiga punyeto tena.

NB:

Niliacha punyeto miaka minne kabla ya kufunga ndoa, nimekumbushia hili maana kuna Watu wataja kujitetea kuwa dawa ya punyeto ni kuwa na Mke wa kudumu kumbe kwa Mungu yote yanawezekana.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Tena nyie ndio kabisa maana mnalisha maroho machafu bila kujijua ndio maana baadhi wanashindwa kutoka huko kutokana na manii zao kuwa tamu hivyo hutekwa kabida na kugeuzwa watumwa wa kuzalisha hicho chakula! Kuna manii chungu pia
unakuta mtu anapiga nyeto, anatomber malaya wa kila aina, anatazama porn za kila aina.. na anatoboa tu..
 
0f2f473c10b3259b0795d00316219ab2.jpg
 
Tena nyie ndio kabisa maana mnalisha maroho machafu bila kujijua ndio maana baadhi wanashindwa kutoka huko kutokana na manii zao kuwa tamu hivyo hutekwa kabida na kugeuzwa watumwa wa kuzalisha hicho chakula! Kuna manii chungu pia
unakuta mtu anapiga nyeto, anatomber malaya wa kila aina, anatazama porn za kila aina.. na anatoboa tu..
 
Hakuna cha ubora wowote ule.

Tena huko ndiko kuna utumwa kuliko hata ufikiriavyo, mbegu zinawezachukuliwa na majini na kufungiwa roho za kishetani ambazo hutahitaji kamwe kusex na Me wala Ke halisi zaidi ya pepo mchafu aliyekujaa kichwani kukutumikisha kiakili na kimwili hatimaye ukaishia kuwa mtumwa maisha yako yote hadi kifo.

Niliwahi kuishi ktk utumwa huo zaidi ya miaka 8, nikiwa napoga punyeto zaidi ya mara 6(goli) kwa siku 1.

Nilijitahidi sana kuacha kwa akili zangu lakini nilichemka.

Wakati mwingine nilikuwa naweza kukaa hata zaidi ya miezi mitatu bila kujichua lakini siku nikikumbuka tu ndipo najikuta nimerudia uhalisia ule ule kama awali.

Yani unapiga goli 6 kwa siku 1, una demu wa kunyaduana naye wakati wowote na bado tena unaingia chimbo kununua Malaya, unadhani ni akili za Binadamu wa kawaida hizi?

Nilifunga kwa siku 7 kumwomba Mungu anisaidie kutoka katika hicho kifungo ndipo Mungu alinisikia na kunijibu, hadi sasa nina zaidi ya miaka 10 bila kupiga punyeto tena.

NB:

Niliacha punyeto miaka minne kabla ya kufunga ndoa, nimekumbushia hili maana kuna Watu wataja kujitetea kuwa dawa ya punyeto ni kuwa na Mke wa kudumu kumbe kwa Mungu yote yanawezekana.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Niliwahi kuishi ktk utumwa huo zaidi ya miaka 8, nikiwa napoga punyeto zaidi ya mara 6(goli) kwa siku 1.[emoji3064][emoji3064][emoji2827]
 
Baraka au mikosi ya ngono inategemea unakutana na Nani Kwny ngono?

Kuna wanawake naturally Wana upepo mzuri, ukipiga michongo yako inanyooka.
mfano mzuri:wema sepetu,mamaJ n.k[emoji4]
Yani hili kweli kabisa,,kuna papuchi ukitunukiwa mambo yananyooka ila kuna nyingine sasa loh, utaandamwa na nuksi hadi hio nguvu ikiisha ndani kwako
 
Back
Top Bottom