Ngorongoro hali mbaya: Maulid Kitenge ataka hatua za dharura zichukuliwe kuwanusuru Wamasai

Ngorongoro hali mbaya: Maulid Kitenge ataka hatua za dharura zichukuliwe kuwanusuru Wamasai

Kupanga ni kuchagua kwa kipato utaliii Ina bidi Wananchi na mifugo wapishe wapishe kwa resettlement plan ya haki, wapewe eneo la pembezoni lenye ecolojia similar lenye mipaka. Wakati wa vijiji 1974 Mwl. Nyerere aliwapeleka baadhi wakazi Kilimanjaro Tanga na Morogoro kuwagawia mashamba. Maamuzi sahihi yafanyike haraka.
Very true,

Serikali itende haki kuwahamisha wamasai na itende haki kuokoa uhifadhi
 
Hivi lini mmesikia wamasi wanasema Wana Hali mbaya, Kama kweli Wana Hali mbaya why hawataki kuondoka,

Ni mafisadi yanayotaka jimilikisha mbuga Ili kufanya ujangili , ndo wanakuja na propaganda mfu pitia KWa wamasai ,Ili wakatekeleze ushetan wao
Hawa wapuuzi wamepewa rushwa huko wakaanzisha kampeni yao feki
 
Wanataka kuiuza na ngorongoro kama Loliondo? Mbona propaganda za kuwaondoa wamasai zimepamba moto? Naona wanashindwa kufanya ujangili na wamasai wakiwepo wameona waje na propaganda nyepesi. Bahati mbaya project imeshafeli mapema Sana wabuni nyingine.
 
Wao wanasema wamefika, na wanapigana wasiondoke,hata sie watanzania wenzako tuko nao bega KWa bega ,Kitenge anawashwawashwa nini?masai tribe SIO watu wa anasa hata walioko mjini huwezi jua wanalalaga wapi,na ndo maana kabila hili limebaki kuwa la kipekee...
Watu wanalipa zaidi ya $20000 kufanya uwindaji Ngorongoro. Tunahitaji hiyo pesa. Wamasaai watafutiwe sehemu nyingine waishi!
 
Back
Top Bottom