Ngorongoro hali mbaya: Maulid Kitenge ataka hatua za dharura zichukuliwe kuwanusuru Wamasai

Ngorongoro hali mbaya: Maulid Kitenge ataka hatua za dharura zichukuliwe kuwanusuru Wamasai

Wao wanasema wamefika, na wanapigana wasiondoke,hata sie watanzania wenzako tuko nao bega KWa bega ,Kitenge anawashwawashwa nini?masai tribe SIO watu wa anasa hata walioko mjini huwezi jua wanalalaga wapi,na ndo maana kabila hili limebaki kuwa la kipekee

Waachwe nao ni watanzania, tunazo hifadhi ngapi tz? Lakini pia mbona wemeshiriki kutunza wanyama

Ngorongoro iwe aridhi ya wanasai period, na mbunga wakabidhiwe moja KWa moja
Safi sana una akili weye!! eti sasa waende wapi na wanyama wao?? ambapo hakuna wanyama pori!! hawa waandishi nao bana bure kabisa!! hao ng'ombe mbuzi wa wamasai!! nao ni wanyama wabadilishwe iwe sehemu ya hifadhi!!

Wanyama ni wetu sisi watanzania, na wamasai ndo watanzania wenyewe!! kama wana njaa, majisafi hkn, shule hkn kazi ya hela za hifadhi zina fanya nini?? washauliwe vizuri na wana mazingira kma wana ng'ombe wengi, wafuge kwa makundi sehemu tofauti!! tofauti!

na walindwe kwa upole dhidi ya wanyama wakali km simba, Game scout kazi zao nini humo?? wakati wenzetu wana lia usiku na mchana kuzalisha wanyama km ngombe mbuzi kondoo! tena safi mnoo!!

nyie mnawaza kuwapoteza/kuwaua/kuwatupa mifugo yetu ambayo ni chakula cha binadamu? nyie watu wa ajabu sana!! Elimu zenu hizo mnapokea tu huko madarasani hamjui kuwaza na kujiuliza? bongo ndo walafi wanyama mnooo!

Wamasai hawapati cholesrolaemia sababu wana dawa wafuateni wawape dawa msife na leheme! hamtaki! mnawaza kuwakosoa kuwahamisha! kwenda kusiko julikana !! ok! wakihama huko nako wakawa wakajaa wengi je?

Mlitufundisha ili tuendelee mojawapo ya mbinu mlisema tunahitaji watu, ...sasa wtu si ndo hao?? hifadhini?? watunzeni bana acheni figisu zenu hizo za kimagharibi!!! Mtalii akija humo anaacha dolali!!

wapeni nusu serikali ya Masai ajili ya miundo mbinu ya humo hifadhini, na nusu serikali kuu!! wafundisheni kuishi na wanyama wetu! kwa amani! na wafundishwe kupenda na kulinda mazingira baaasi ndo dawa!

Hawa waandishi wametumwa hawa!! na vyombo vya Mabeberu! Ili sisi Bongo tusi fuge tuwa tegemee wao mabeberu! kwa kila kitu!! mpaka na ngozi!! au laa wao weupe waje wafuge humu baadae huko! sisi tuwe tegemezi daima!

hakuna shida kuishi na wanyama na masai wana dawa hizo za kuishi nao!!! wanyama wakali km simba wanawakimbia wao au na wanakuwa marafiki, wazungu wana fuga ng'ombe ile mbaya ila wa kwao si wazuri km sie!

Ngombe wetu wa asili wanatoa maziwa mazuri sana tena ni dawa!! lkn ngombe wa kizungu maweee!! kansa tupu unapata mwilini!! hilo limefanya wazungu wanune! sasa wana tushambulia kichini chini! hao kina kitnge wamekula cha juu mnoo!!

hata useme ni i weye kitenge umepewa hela uhamasishe haya majungu!......Masai wamesoma lazima ukutane na pingamizi hkn shida Mma sai kuishi na simba door! to door!

Sijaipenda hii imekaa kikutumwa tumwa hivi!!! pelekeni shule huko bana!!
 
Acheni siasa za kipuuzi, za kufifisha UTU wa mwanadamu kwa tamaa zenu za pesa.

Ni wajinga wachache sana wasiojua nini kinafanyika nyuma ya the so called 'uharibifu wa mazingira' unaoripotiwa na huyo Kibaraka Maulid!

Sent using Jamii Forums mobile app
Yale yale ya kudhoofisha JNHPP kwa kigezo cha kelele za mazingira😂 eti mradi huu unaharibu mazingira😂
 
Sifa ya Ngorongoro ni mchanganyiko wa wanyama na binadamu hiyo ndio brand yake.

Sasa kama wanataka kuiua branda wawaondoe wamasai ili ngoro ngoro iwe mbuga sawa na nyingine.

The good things would have been to put the proper ways of how to conserve the area and not to permanently barn Maasai population in the area.
Uongo mtupu
 
Back
Top Bottom